LUCA ni animation moja kali kinyama ya 2021

Pixar hawajawahi kukosea kwenye kutengeneza animation. Wana stori nzuri na animation zao zipo very realistic kama muvi ya kawaida.
Soul
Luca
Raya the last dragon nadhani ndio animation bora mwaka huu.
Dreamworks wameniboa Boss baby 2 sijaipenda wala. Ngoja nisubirie Hotel Transylvania: Transformania
 

Umeshasema kila kitu nlichotaka kusema exactly PIXAR huwa hawafeli animation zao zinabeba ujumbe ambao audience ya watu wazima mnauelewa zaidi, Soul imenifundisha kitu aisee

Kuwa tunaishi tufurahie maisha sio kuwa obsessed na sucess au perfection, au kuwa na mashaka pale tulipokosea badala yake tunatakiwa tuenjoy little things maana best moments zinatoka humo humo. Tunafanya kazi na kutafuta ndoto zetu ila tusisahau kuishi maana hatuna mda mwingine zaidi ya huu on this earth aisee hii movie hits different kabisa
 
Hivi umeona nezha reborn wewe rate ya 10/10 Noma sana
 
Kwa animation za kuchekesha na kufurahi Dreamworks nawapa namba moja. Ila kwa animation zinazogusa maisha ya watu basi nawapa namba moja Pixar
 
Umesahau Coco baba Lao hujaitaja hapa
 
Ntaitafuta soul. Sijaona
 
Nilitaja za mwaka huu zilizotoka pixar. Btw coco naipenda pia very realistic details. Unaweza kuangalia unamuona Miguel ana vinyweleo kabosa mashavuni kama mtu halisi kumbe ni animation
OK.

Navopenda movie sasa ila daah muda sina hata maskeen. Nachoka sana basi huishia kusinzia tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…