Lt. Gen Abrahaman Amir Shimbo kustaafu kesho


Funguka mkuu Ilikuwaje? walimfanya nini Mwamunyange?
 

this is JF zebu mwaga kidogo mkuu
 
Mwenzake Mkapa analia Wastaafu wamesahauliwa! Ngoja sasa na yeye aende huko akaonje joto ya jiwe. Kama Mkapa analia, sembuse yeye?

TUMBIRI (PhD, University of HULL - UK),



tumbiri@jamiiforums.com
kwa miaka 60 aliyonayo trilioni 4 unadhani zitaisha kesho?mpaka anakufa hatojua kama kuna marupurupu ya kustaafu
 
ukiona mkuu wa cheo kama hiki,, anaagwa siku ambayo mkataba wake unakoma, tena bila mbwembwe za parade pale twalipo zinazoambata na kusukumwa gari..., basi ujue kuna tatizo kubwa...,

Ameagwa pale pale makao bila mbwembwe,


Madaraka yanalevya jamani..., pamoja na yote alofanya bado ilikua sad day kwakweli kwa huyu mkuu
 
Bora akajikalie huko kwake,atumbue pesa yetu vizuri.huku akijiandaa kujibu mashtaka yakutosha.
 
Mwenzake Mkapa analia Wastaafu wamesahauliwa! Ngoja sasa na yeye aende huko akaonje joto ya jiwe. Kama Mkapa analia, sembuse yeye?

TUMBIRI (PhD, University of HULL - UK),

tumbiri@jamiiforums.com

aaah! wapi, mkapa anatupiga changa la macho tu, hana lolote huyu. ana mabilioni yetu huyu, halafu wao si wanatengewa mpaka BILIONI 8 kutoka kwenye bajeti ya serikali kwa ajiri ya matibabu tu ya wastaafu, sasa anachojifanya kuchonga ni nini?? huyu Mkapa asituhadae watanzania, kuongoza taifa kama rais isiwe sababu ya yeye kutaka alelewe kama mtoto mdogo wakati kuna wazee wa EAC mpaka wananyunyiziwa maji ya washawasha wakati wanadai jasho lao walilodhulumiwa baada ya kuitumikia nchi.
 
appointment alofanya amiri jeshi mkuu ya kumteua ndomba imepongezwa na wengi..,

Ndomba anajulikana kwa misimamo na kufuata sheria.., hapindishi kanuni,

Na leo hapa JF mm nawahakikishia ndomba ni next CDF..,

He is highly disciplined, very well educated, kwa elimu zote za kiraia na kijeshi na ni mpinga ufisadi.., nadhani mtakumbuka soon alipoingia JKT nini kilitokea kwa senior officers wa pale waliokua na kashfa.., wote mahakamani.
 
Uuwiiii ndio kwanza kazaliwa upya Ubalozi wa China.....
 
Mzee wa Tril 4 anakwenda kugombea ubunge sasa....maana ana kila sababu ya kugombea ubunge ,pesa,kadi,na wajibu anao....ametumikia sana chama vile vile!na pia ni mwenzao!!
Mkuu Ametumikia Chama Vizuri Haaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…