General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,186
Ama kweli Lowassa kaitendea haki dgree yake ya sanaa aliyoipata UDSM,
Embu fuatilia hii.....
1. Lowassa akikatwa tunamkaribisha ACT lakini lazima atangaze mali zake kwanza---ZITTO KABWE
2. CUF tutampokea Lowassa akihama CCM,--
3. CHADEMA, tunamkaribisha Lowassa--MBOWE
4. CHADEMA ni kama kanisa, hakataliwi mtu, tunahubiri habari njema ya wokovu, ukija hapa unatubu unaendelea kufanya kazi--MSIGWA
5. Iwapo Lowassa atahamia CHADEMA anakaribishwa na huenda akaitimiza safari yake ya matumaini.--LEMA
6. Tunamkaribisha kwa mikono miwili-LUCY OWENYA-CDM
7. Anatakiwa afuate taratibu za chama, milango ipo huru, lakini afuate kanuni… asije akafikiri ataleta taratibu zake hapa, sitakubali--SILINDE
8. Kama watu wanahama vyama vingine yeye ni nani asihame CCM?"--SUZAN LYMO-CHADEMA
9. Nitazungumza pale mambo yatakapokuwa sawa, siwezi kuzungumza sasa, subirini--SLAA
MSISHANGAE NA KESHO MBATIA AKATOA KAULI YA KUUMTAKA LOWASSA, ILIMRADI TUU KUONESHA JAMAA ANAKUBALIKA HADI KWA WAPINZANI.
BAADA YA HAPO SAFARI YA MATUMAINI ITAANZIA CHADEMA...
LOWASSA YOU ARE SO STRATEGIC