Lowassa you are so strategic, watakuelewa tu

Lowassa you are so strategic, watakuelewa tu

Inaelekea wewe unafikiri kwa makamasi
ccm baada ya mfumo wa vyama vingi wamejenga ofis gani kwa kutumia ruzuku na ruzuku yako ni Mara tano ya chadema
tuwe wakweli viwanja vyote na majengo yote yanayomilikiwa na ccm tulichangishwa kwa nguvu

Rasilimali zote za CCM zilizopatikana Kabla ya ujio wa vyama vingi ni Mali halali ya wananchi wote wa Tanzania.
 
CCM wamefanya mistake kubwa sana kumkata huyu jamaa watajuta akipitia mlango wa nyuma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom