Lowassa will win a landslide

Status
Not open for further replies.
asee vijana wameamua

Msiojua hesabu. Hao Vijana asilimia 70 waliojiandikisha ujue ni wa vyama vyooote na wasio na vyama. Wa Dr. Slaa wamo, wa Prof. Lipumba wamo, wasio na vyama wamo, wa ccm wamo nk. Sasa labda utuambie wale wa UKAWA ya kisasa wako wangapi kati ya hiyo asilimia 70?
 
Unalazimisha ushindi angalia msije kupata ugonjwa wa moyo matokeo yakitangazwa.
Kama mnategemea kututangazia matokeo ya 'Kivuitu' style, mjue mmepiga chini.

Hata Lowassa alishasema ingawa anajua kuwa maccm ni mabingwa wa kuiba kura, lakini akawasisitizia wananchi wajitokeze wengi sana ili hata wakijaribu kuiba kura bado zibaki nyingi sana za kuwapa ushindi Ukawa.

Kwa namna turn up ya wapiga kura niliyoishuhudia asubuhi hii, I can predict for sure that EL win get a landslide victory of not less than 70%
 
sehemu ninayoishi ccm unataja ukiwa ndani yaan ni kama kitufalani ni haramu
 
Vijana wa ccm kwenye folen utawajua wameloa kama wamemwagiwa maji ya baridi
 
Hivyo ndiyo itakavyokuwa Lowassa anashinda.

Nilianzisha thread kama hii ila kwa vile niliandika kwa kiswahili MODS wakaiondoa hahahaaaaa.
 
Mafisadi wa Richmond malipo leo, hakuna kungoja kiama.
 
Siku hizi hata wazee wamebadilka, Jana nilikuwa naongea na mama yangu mwenye umri wa miaka 68 nikita kujua msimamo wake kisiasa akafura kweli yaani watoto wa matajiri ndo wapate kazi wakwetu masikini wasipate kazi hapo kesho naenda kupigia kwenye vidole viwili tuone na wengine watatusaidiaje sisi masikini ni maneno yaliyo mtoka mama yangu kwa hasira sana nadhani mnao tujua Wanyakyusa kwa sauti yetu kama WANIGERIA mtakua muelewa sauti ya hasira iliyomtoka mama yangu baada ya mwanae mimi kuendelea kusota mtaani bila kazi takribani miaka 4 toka nihitimu chuo.
 
nimechukua ✌ nikaweka ✔ Lowassa

sasa nailinda kura yangu
 
jiandaeni kisaikolojia. vijana tunaojitambua hatuwezi kumpigia kura fisadi., akauze nchi.
never..!
 
Sijui kwa nini watu wengine wakianza kuzeeka hawataki mabadiliko. Mm sio mmoja wao. Kura yangu UKAWa
 
I prove you wrong. Landslide win ni nafsi yako cyo yangu mbona namchinja tu
Mwana jf mmoja hapa kaeleza vizuri juu ya taarifa tunazozikikia za kukamatwa mabox na nadhani kwa great thinkers wamemuelewa vizuri.
Hambao hawajapitia huo uzi ni kuwa hizi sio mbinu hasa za kuiba kura bali ni kutaka kuvuruga uchaguzi maana dalili za ushindi ni wazi zimeegemea upande mmoja wa mabadiliko.
Kizuri kuzidi vyote safari hii ni busara na uelewa wa wananchi.

 
wasiwasi wangu goli la maradona
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…