Mko restless sana sijui kwanini ..jamaa yenu hata iweje hawezi kushinda uchaguzi huu
Another surprising thing is men's queues are longer than women's queue.
Kura za ccm ziko wapi?
watu wanahasira mno..kweli watu wamebadilika kwa ripoti nliyopata hakuna mtu anaenda kumpigia kura magufuli wala ccm. sioni ccm itashinda vipi. vijana kachicheni haya majizi ccm na matoto yao
Lowassa atakuwa rais kivuli wa Tanzania.
Wewe inawezekana hata shahada hauna kwa sisi tulio kwenye foreni ya kupiga kura hali halisi ndio hiyo kila mtu ni Lowassa.Ukapimwe akili..hata leo unapiga propaganda?subiri matokeo yatoke kijana..kuna watu humu hamjui maana ya uchaguzi wa viongozi kupigiwa kura na wananchi..mtakufa kwa pressure...kama ni mpira,sasa hv ndo dakika ya pili tu ya mchezo,subiria dk 88 ziishe..then urudi hapa uone tathmin zako hizo zitakavyokuwa..ooh Lowasa Rais,Lowasa Mafuriko,Lowasa Mabadiliko,Lowasa anakubalika na vijana wengi,Lowasa nyenyenyeeee...leo ndo majibu na ukweli wa hayo utayapata...mamaeeeeeeee
Lowassa Anaenda Kushinda Asbh tu.. Hapa Kituoni Nilipo Nimefika Saa Moja Nikawa mtu kama wa mia Mbili.. Vijana Noma wana Hasira Sana
Hata hapa kituoni kwangu....vijana ni wengi sanaaaaaaa.....Lowassa atashinda kwa kishindo!!!!
subiri unyolewe watu tuko kazini kuangamiza CcM na tuna hasira kali sana tu.Mambo ya Kampeni yaliisha jana,leo ni kupiga kura
Lowassa, supported by milions of youths is going to win this election by a huge margin, I predict 70+ percent.
The turnout is massive and 80% on queues are young boys and girls of the youth group.
Now I understand why there's panic on Ccm camp.
Let's do what Lowassa told us: 'cast as many votes as you can that even if they rig, they will reach a point where they will be exhausted'
The message from the youths is clear: changes.
Lowassa is our next president of The United Republic.
Another surprising thing is men's queues are longer than women's queue.
Kura za ccm ziko wapi?
Ni kweli kuna vijana wasiojitambua kama wewe au wanufaika na mfumo. Leo ndo mwisho wenu.Aliyekwambia vijana wote wanampigia lowassa ni nani? Nilipo pia vijana ni wengi ila sio wote wa lowassa nikiwapo mimi.