Ninaona utakuwa umeathirika na push up za mpiga push up,ni wapi Sumaye aliposema kuwa kwa kipindi cha miaka 54 CCM hawajafanya kitu chochote?.
Mbona Sumaye siku alipokuwa ana hojiwa na Tido Muhando kupitia AZAM TV alisema kuwa katika kipindi chake cha uwaziri mkuu walijenga shule za msingi,secondary za kata,barabara za lami,uwanja mkuu wa Taifa n.k,Sumaye alienda mbali zaidi kwa kusema kuwa katika utawala wake Lowassa ndiye aliyesimamia mradi wa usambazaji wa maji wa ziwa victoria.
Mgao wa umeme miaka 20 sasa
Huu ni ukweli usiopingika kuwa wapambe wa Lowassa aliotoka nao CCM wanao mnadi jukwaani ndiyo wanaozidi kummaliza badala ya kumsaidia.
Sumaye amekuwa akisema serikali ya CCM haijafanya chochote kwa miaka 54 ya Uhuru wakati huo huo wanasahau yeye na huyo Lowassa wake walikuwa sehemu ya serikali hiyo wanayosema haijafanya chochote kwa miaka 13.
Wanasahau ndani ya miaka kumi ambayo Sumaye alikuwa waziri mkuu yeye ndiyo alikuwa mtendaji mkuu wa shughuli za maendeleo za serikali kwa hiyo anaposema haijafanya chochote bila shaka alihusika kukwamisha baadhi ya maendeleo kwa miaka kumi.
Na hivyo hivyo kwa Edo. Kazi waliyompa Sumaye ya kumnadi hasimu wake mkubwa Edo ni kuzidi kumdidimiza Edo huenda akijua maana alishakaririwa akisema kuwa na yeye ni moja ya wagombea kupitia CHADEMA hivyo hatuwezi kujua mkakati wake ni upi juu ya Edo.
My take; CHADEMA asilia kama mko serious kuwa mnaitaka nchi japo hamuwezi kuipata hata kama CCMwakilala wasipopiga kampeni? Amkeni mumnadi huyu Mzee maana Sumaye anammaliza na si kumsaidia.Japo nyuso zinawasuta lakini jikazeni tu hivyo hivyo no way out.
Hoja tu matusi hayaruhusiwi.
Nawasilisha.
Ikifika 25 October ndiyo mtajua namaanisha nini. Sahivi jifarijini kwanza no wonder Mr zero amekuja kuongoza kama alivyosema Kuwa hamna watu wenye sifa za kuongoza.
Huu ni ukweli usiopingika kuwa wapambe wa Lowassa aliotoka nao CCM wanao mnadi jukwaani ndiyo wanaozidi kummaliza badala ya kumsaidia.
Sumaye amekuwa akisema serikali ya CCM haijafanya chochote kwa miaka 54 ya Uhuru wakati huo huo wanasahau yeye na huyo Lowassa wake walikuwa sehemu ya serikali hiyo wanayosema haijafanya chochote kwa miaka 13.
Wanasahau ndani ya miaka kumi ambayo Sumaye alikuwa waziri mkuu yeye ndiyo alikuwa mtendaji mkuu wa shughuli za maendeleo za serikali kwa hiyo anaposema haijafanya chochote bila shaka alihusika kukwamisha baadhi ya maendeleo kwa miaka kumi.
Na hivyo hivyo kwa Edo. Kazi waliyompa Sumaye ya kumnadi hasimu wake mkubwa Edo ni kuzidi kumdidimiza Edo huenda akijua maana alishakaririwa akisema kuwa na yeye ni moja ya wagombea kupitia CHADEMA hivyo hatuwezi kujua mkakati wake ni upi juu ya Edo.
My take; CHADEMA asilia kama mko serious kuwa mnaitaka nchi japo hamuwezi kuipata hata kama CCMwakilala wasipopiga kampeni? Amkeni mumnadi huyu Mzee maana Sumaye anammaliza na si kumsaidia.Japo nyuso zinawasuta lakini jikazeni tu hivyo hivyo no way out.
Hoja tu matusi hayaruhusiwi.
Nawasilisha.
Hata mkeshe ccm haiwezi kuondolewa madarakani na fisadi lowassa. jaribuni tena 2020 kama bado atakuwepo lakini.
Dada hebu tuambie ni bora Sumaye anayemharibu Lowasa kuliko CCM inavyomchafua Magufuli, Magufuli anajiaibisha saana, msomi mzima anatoa ahadi ambazo haziwezekani hata kwa miaka 100 ijayo, wewe unasema utatoa mil 50 kwa kila kijiji, Tanzania ina vijiji vingapi? Na hiyo pesa wataitoaje? Acha kuruhusu CCM wakacheza na ubongo zenu kuwahaadaa otherwise na wewe ndo wale bila CCM maisha mkono hauendi kinywani.Huu ni ukweli usiopingika kuwa wapambe wa Lowassa aliotoka nao CCM wanao mnadi jukwaani ndiyo wanaozidi kummaliza badala ya kumsaidia.
Sumaye amekuwa akisema serikali ya CCM haijafanya chochote kwa miaka 54 ya Uhuru wakati huo huo wanasahau yeye na huyo Lowassa wake walikuwa sehemu ya serikali hiyo wanayosema haijafanya chochote kwa miaka 13.
Wanasahau ndani ya miaka kumi ambayo Sumaye alikuwa waziri mkuu yeye ndiyo alikuwa mtendaji mkuu wa shughuli za maendeleo za serikali kwa hiyo anaposema haijafanya chochote bila shaka alihusika kukwamisha baadhi ya maendeleo kwa miaka kumi.
Na hivyo hivyo kwa Edo. Kazi waliyompa Sumaye ya kumnadi hasimu wake mkubwa Edo ni kuzidi kumdidimiza Edo huenda akijua maana alishakaririwa akisema kuwa na yeye ni moja ya wagombea kupitia CHADEMA hivyo hatuwezi kujua mkakati wake ni upi juu ya Edo.
My take; CHADEMA asilia kama mko serious kuwa mnaitaka nchi japo hamuwezi kuipata hata kama CCMwakilala wasipopiga kampeni? Amkeni mumnadi huyu Mzee maana Sumaye anammaliza na si kumsaidia.Japo nyuso zinawasuta lakini jikazeni tu hivyo hivyo no way out.
Hoja tu matusi hayaruhusiwi.
Nawasilisha.
Huu ni ukweli usiopingika kuwa wapambe wa Lowassa aliotoka nao CCM wanao mnadi jukwaani ndiyo wanaozidi kummaliza badala ya kumsaidia.
Sumaye amekuwa akisema serikali ya CCM haijafanya chochote kwa miaka 54 ya Uhuru wakati huo huo wanasahau yeye na huyo Lowassa wake walikuwa sehemu ya serikali hiyo wanayosema haijafanya chochote kwa miaka 13.
Wanasahau ndani ya miaka kumi ambayo Sumaye alikuwa waziri mkuu yeye ndiyo alikuwa mtendaji mkuu wa shughuli za maendeleo za serikali kwa hiyo anaposema haijafanya chochote bila shaka alihusika kukwamisha baadhi ya maendeleo kwa miaka kumi.
Na hivyo hivyo kwa Edo. Kazi waliyompa Sumaye ya kumnadi hasimu wake mkubwa Edo ni kuzidi kumdidimiza Edo huenda akijua maana alishakaririwa akisema kuwa na yeye ni moja ya wagombea kupitia CHADEMA hivyo hatuwezi kujua mkakati wake ni upi juu ya Edo.
My take; CHADEMA asilia kama mko serious kuwa mnaitaka nchi japo hamuwezi kuipata hata kama CCMwakilala wasipopiga kampeni? Amkeni mumnadi huyu Mzee maana Sumaye anammaliza na si kumsaidia.Japo nyuso zinawasuta lakini jikazeni tu hivyo hivyo no way out.
Hoja tu matusi hayaruhusiwi.
Nawasilisha.
Hizi ndiyo akili za timu lowassa. Ushawahi kupima kiwango cha ujinga wako?
Ulianza vizuri kwa mada yako, lakini sasa unajipambanua kwa mapenzi yako ya chama tawala. Siku zimebaki chache, kama unakipenda sana chama cha mapinduzi...kwa muda huu mchache waelezee watanzania ni nini tofauti mtakifanya tukiwapa ridhaa yetu..tofauti na miaka yote iliyopta. May be tuanze na huu mgao wa umeme. Name calling inazidi kuwapotezea muda...
Ulitaka niandike kitakacho kufurahisha wewe na huyo fisadi wako???