Lowassa wapambe wako wanazidi kukuharibia badala ya kukusaidia

Lowassa wapambe wako wanazidi kukuharibia badala ya kukusaidia

Mchawi hawezi kukupa habari njema za kwenda mbinguni,inaonyesha ni jinsi gani unavyoumizwa na kukosa a man I kwa speed ya ukawa kuichukua dola,LOWASA kuwa raid hilo linajulikana na kinacho subiriwa ni kudhibitishwa na kuapishwa tu,kama bado umelala amka mabadiliko yako mlangoni kwako
 
Uwezo wako wa kutoa Mada ni mdogo sana hivi hata standard vii ulimaliza kweli. Lete hoja za msingi sio huo ujinga au kwakuwa mpo huru kupost unachowaza tu

Nimekushauri ufiche ujinga wako still unauonesha? unahitaji msasa wa ubongo.
 
Mchawi hawezi kukupa habari njema za kwenda mbinguni,inaonyesha ni jinsi gani unavyoumizwa na kukosa a man I kwa speed ya ukawa kuichukua dola,LOWASA kuwa raid hilo linajulikana na kinacho subiriwa ni kudhibitishwa na kuapishwa tu,kama bado umelala amka mabadiliko yako mlangoni kwako

Ikulu mnayoitaka labda ya monduli ya magogoni haendi hata kwa kibarua cha kukata majani.
 
ID yako inasadifu uwezo wako wa kufikiri.

Wewe nadhani kwa upeo wako finyu unadhani unaweza kuwa ni kipimo cha wengine? Kwani wewe ni Mungu? ww ni binadamu wa kawaida tena mjinga lakini haujajitambua unadhani Tabia yako ya kutafasiri ID ni ujanja hv kila ID humu ikitafasiriwa kutakuwa na maana? Usijifanye mungu ww mweyewe bado sana tena sana usitumie kipimo cha kusifiwa na mpz wako ukajiona una Akili.
 
Hebu subiri tuiondoe CCM kwanza ndipo uje na hizi ngonjera zako.

Hata mkeshe ccm haiwezi kuondolewa madarakani na fisadi lowassa. jaribuni tena 2020 kama bado atakuwepo lakini.
 
Nimekushauri ufiche ujinga wako still unauonesha? unahitaji msasa wa ubongo.

ww si Mungu wala huna haki ya kuwaita wengine wajinga kama ni ujinga wewe ni mjinga namba moja kwani badala ya kujenga Hoja unakimbilia kuwatukana watu, siku zote mtu mjinga mjinga huwa anapenda Matusi.
 
Kweli Akili nywele kila mtu Zake
Ivi unaona kinsi ukawa walivo na campen za kistaarabu
Mzee lowassa umewahi naskia akibeza sera za magufuli au haya kutaja jina magufuli
Please cool
Tatehe 25 ndo utaijua coz tutapga kura ya ndio kwa lowassa na hutuambii kitu na huyo pombe wenu
 
Wewe nadhani kwa upeo wako finyu unadhani unaweza kuwa ni kipimo cha wengine? Kwani wewe ni Mungu? ww ni binadamu wa kawaida tena mjinga lakini haujajitambua unadhani Tabia yako ya kutafasiri ID ni ujanja hv kila ID humu ikitafasiriwa kutakuwa na maana? Usijifanye mungu ww mweyewe bado sana tena sana usitumie kipimo cha kusifiwa na mpz wako ukajiona una Akili.

Bora Mimi nasifiwa na mpz wangu wewe unasifiwa na mbowe? povu limekutokaeee tulia ndiyo mwanzo tu.
 
Hata mkeshe ccm haiwezi kuondolewa madarakani na fisadi lowassa. jaribuni tena 2020 kama bado atakuwepo lakini.

Pesa za escrow, mabehewa mabovu, kivuko feki na wizi wote kafisadi lowasa? Umekariri ulicholishwa tu? jaribu kuchanganya Akili ya kuambiwa na Nape na Akili yako.
 
ww si Mungu wala huna haki ya kuwaita wengine wajinga kama ni ujinga wewe ni mjinga namba moja kwani badala ya kujenga Hoja unakimbilia kuwatukana watu, siku zote mtu mjinga mjinga huwa anapenda Matusi.

Always timu lowassa mmekuwa na matusi halafu katafute kamusi utafute maana ya neno mjinga then uje ulalamike hapa. vinginevyo utaendelea kuwa mjinga tu.
 
Bora Mimi nasifiwa na mpz wangu wewe unasifiwa na mbowe? povu limekutokaeee tulia ndiyo mwanzo tu.

Ndiyo mwanzo wa mabadiliko sasa Kama povu litakutoka wewe Maana hautayaamini unayoyatarajia ikifika 25 October.
 
Naona sindano za mzee mzima Sumaye zimegusa hadi katikati ya mifupa.
Kwa bandiko lako hili ni dhahiri wewe ni mchumia tumbo,unadhani huo ushauri wako wa kijinga nani aufuate?
Tokea lini adui akamsifia adui yake?
Ni dhahiri kuwa Sumaye anawanyima usingizi,na bado.

Eti huyu naye mnasema amekuja kuongeza nguvu...hii ilipaswa kuongezwa kwenye maajabu 7 ya dunia
 
Attachments

  • 1444112489016.jpg
    1444112489016.jpg
    77.5 KB · Views: 98
Pesa za escrow, mabehewa mabovu, kivuko feki na wizi wote kafisadi lowasa? Umekariri ulicholishwa tu? jaribu kuchanganya Akili ya kuambiwa na Nape na Akili yako.

Hayo hayawezi kumsafisha mamvi wako.
 
Hili litakuwa ni bogus la lumumba lishalishwa unga wa ndele and then hata kazi unaweza kuta hana kazi ndio hiyo propaganda tu
 
Always timu lowassa mmekuwa na matusi halafu katafute kamusi utafute maana ya neno mjinga then uje ulalamike hapa. vinginevyo utaendelea kuwa mjinga tu.

Sihitaji kamusi kama neno mjinga si Tusi basi wewe ni Mjinga kwenye top 10 ya wajinga wa ccm kwanza kubali wewe ni mjinga ndipo kamusi iletwe hapo.
 
Hayo hayawezi kumsafisha mamvi wako.

Kama Lowasa hasafishiki iweje awakoseshe usingizi? Mbona kila dakika mnahaha? Waacheni wapiga kura waamue wenyewe mlimkata Dodoma kahamia kwingine bado mnamfuata fuata? Tulieni kama hasafishiki Watanzania Ndiyo wataamua.
 
Nimekushauri ufiche ujinga wako still unauonesha? unahitaji msasa wa ubongo.

Ninaona utakuwa umeathirika na push up za mpiga push up,ni wapi Sumaye aliposema kuwa kwa kipindi cha miaka 54 CCM hawajafanya kitu chochote?.

Mbona Sumaye siku alipokuwa ana hojiwa na Tido Muhando kupitia AZAM TV alisema kuwa katika kipindi chake cha uwaziri mkuu walijenga shule za msingi,secondary za kata,barabara za lami,uwanja mkuu wa Taifa n.k,Sumaye alienda mbali zaidi kwa kusema kuwa katika utawala wake Lowassa ndiye aliyesimamia mradi wa usambazaji wa maji wa ziwa victoria.
 
Back
Top Bottom