Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,498
Huu ni ukweli usiopingika kuwa wapambe wa Lowassa aliotoka nao CCM wanao mnadi jukwaani ndiyo wanaozidi kummaliza badala ya kumsaidia.
Sumaye amekuwa akisema serikali ya CCM haijafanya chochote kwa miaka 54 ya Uhuru wakati huo huo wanasahau yeye na huyo Lowassa wake walikuwa sehemu ya serikali hiyo wanayosema haijafanya chochote kwa miaka 13.
Wanasahau ndani ya miaka kumi ambayo Sumaye alikuwa waziri mkuu yeye ndiyo alikuwa mtendaji mkuu wa shughuli za maendeleo za serikali kwa hiyo anaposema haijafanya chochote bila shaka alihusika kukwamisha baadhi ya maendeleo kwa miaka kumi.
Na hivyo hivyo kwa Edo. Kazi waliyompa Sumaye ya kumnadi hasimu wake mkubwa Edo ni kuzidi kumdidimiza Edo huenda akijua maana alishakaririwa akisema kuwa na yeye ni moja ya wagombea kupitia CHADEMA hivyo hatuwezi kujua mkakati wake ni upi juu ya Edo.
My take; CHADEMA asilia kama mko serious kuwa mnaitaka nchi japo hamuwezi kuipata hata kama CCMwakilala wasipopiga kampeni? Amkeni mumnadi huyu Mzee maana Sumaye anammaliza na si kumsaidia.Japo nyuso zinawasuta lakini jikazeni tu hivyo hivyo no way out.
Hoja tu matusi hayaruhusiwi.
Nawasilisha.