Jamani hii dhana ya mheshimiwa Lowasa kusema watanzania wanampa mahaba iko sawa ki maadili iko sahihi au nikuwatukana wa Tanzania? Hasa ukizingatia anayasema haya huku akitoa ahadi ya kumwachia babu Seya aliyesibitishwa mahakani kwa makosa ya ulawiti! Chadema na ukawa kwa ujumula mbona mnamwachia kuongea hata vitu ambavyo vina leta picha mbaya kwenye jamii...ni upuuzi huu tuacheni ushabiki