- Thread starter
- #81
Tuko pamoja kaka kumbe hata kichwa cha habari wiki hii kimemtaja tena lowasa,na hilo ndio hata mimi nimesema hapa.hio habari ilikuwa ina nia ya kuchonganisha kt ya low na jkwe timamu kweli au kichaa? Kwa taarifa yako ili gazet linaandika ishu mpya kila wiki tena adimu zinazowakela magamba hadi mkwer.e himself kwan mfano headlines wiki hii LOWASA,ROSTAM KUMZIMA KIKWETE hii haiusiani na richmond, nyingine CCM WAPANGA KUHUJUMU CHADEMA, pia kuna habari hoayoiusu CUF,acha utovu wa nidhamu ongelea unayoyajua yale ya mzalendo,uhuru na jambo leo sio mwanaHALISI