Lowassa vs MwanaHalisi

Mwanangu leo kavalishwa na mama yake T-Shirt ya kijani, basi ananiuzi uzi bila ye kujua. Natamani nimvue niicchome moto hii nguo.
 
mwanahalisi ni gazeti la kuchunguza habari na kuwapasha wa TZ bila woga,wametufumbua macho na mambo mengi sana.kamanda kubenea tupo pamoja kwenye hii vita.
 
Sasa mtu kama ni habari kwa nini asiandikwe? Kazi ya gazeti si ni kuandika habari? Na hakuna habari nzuri kama habari mbaya ambazo hamzipendi, bravo mwanahalisi
 
Hivi ukiwa mwanaccm ni lazima uunge mkono uovu wa viongozi?Sasa MWANAHALISI hapa limefanya kosa gani?Kuujulisha uma kwamba wanaoifisadi nchi ni hawa na wanaiba kwa njia hii na kutoa ushahidi uliojaa mantiki ni kosa?Kama gazeti linalotetea maslah ya nchi ni lazima liandike majina ya majambazi wa nchi na ndo hao wanaotajwa.Kibaya kipi wanafanya?Angalau ungewashauri hao majizi,walifungulie mashtaka gazeti kwamba linawachafua na kuwasingizia.Mbona hawafanyi hivyo?
 
kiukweli nazikubali habari za kiuchunguzi saaana na ni mpenzi wa hayo magazetu kama mwanahalisi,raia mwema,rai,mzalendo nk yale ya ukweli na ya kiharakati lowasa na rostam nadhani uitaju kuadithiwa walichokifanya katika nchi labda we ni mgeni na uliotoka kusikojulikana coz worldwide wanajulikana kwa ubadhilifu wao so jus kip quit an d let mwanahalisi lisonge mbele na za kiharakati
 
Wee ulitaka waandike yepi? "Mwanahalisi" ni gazeti la kichunguzi. Haliendi kuomba taarifa kwa mafisadi wakubwa waliolelewa na CCM. Hapa nchini kuna magazeti machache ambayo hayaombi taarifa Idara ya Maelezo (maana idara hiyo imegeuzwa ngozi ya kondoo inayotumika kuwafunika mbwa mwitu CCM, serikali na mafisadi pamoja na wanufaika na ufisadi),magazeti hayo huchunguza na kunusanusa uzembe wa serikali na chama uko wapi. Wewe unaonesha uwezo wako wa kupembua mambo ni mdogo, hivyo unashauriwa kusoma magazeti ya "uhuru", "mzalendo", "habarileo", "Hoja", "mtanzania","rai" na mengineyo ya jinsi hiyo.
 
Nimeangalia kwa makini sana gazeti la Mwanahalisi kwa zaidi ya miaka mitatu mfululizo bila kukosa na leo nasema kwamba Mwanahalisi ni gazeti maalumu lililoundwa kwa ajili ya kumshughulikia Edward Lowasa na Rostam Aziz.Siku ambayo hawa watu wawili hawatakuwepo basi na gazeti letu kipenzi litakuwa limekufa pia.Leo niko tayari kupinga na mtu yeyote kuwa “KAMA MWANAHALISI LIKIKAA MWEZI MMOJA TU HALIJAANDIKA HABARI YA LOWASA BASI NITATOA KWA NILIOPINGA NAE SHILINGI MILIONI MOJA” japo ni hela nyingi kwangu ila nina uhakika haziwezi kunitoka kw kuwa Mwanahalisi wanamuota mchana na usiku Edward Lowasa……….Kwa kweli Lowasa ni mvumilivu sana ningekuwa mie ningekuwa nimeshafungwa jela kwa kumshughulikia mtu mbaya kabisa ,siwezi kuchezewa namna hii.:angry:


Hiyo millioni kalipie mahari utatulia
 
Watu wamegundua kuwa Mwanahalisi ni wajuzi wakutunga filamu za action - kamwe STAR hafi hata bomu likilipuka atajiokoa au ataokolewa!!. Gazeti limeanza kugalagala kwenye vibanda kwa siku kadhaa.
 
Nchimbi sikubaliani na mtazamo wako kwamba gazeti limeanzishwa kuzungumzia Mtu au watu kwani kifo cha gazeti la aina hiyo kingeshatokea katika kipindi kisichozidi mwaka (kifo cha gazeti ni pale linapokosa wasomaji). Gazeti la mwanahalisi limeweza kuweka katika maandishi matendo maovu ya watawala na washirika wao wakati ambapo hakuna aliyeamini kwamba tungeweza kuyasoma mambo hayo katika gazeti. Uwepo wa habari hizi kila wiki zikiwahusisha ulio wataja ni ishara kwamba wamejihusisha kwenye "madili" mengi yanayoendelea kuibuliwa. Kwa hali ilivyo lisipo sema mwanahalisi yapo yatakayo sema na kwa jinsi hali ilivyo bado uliowataja watakuwemo kwenye habari kwani kinachowafanya wawe habari ni mavitus waliyoyafanya kwa nia ya kujipatia mali.
 
Nimeangalia kwa makini sana gazeti la Mwanahalisi kwa zaidi ya miaka mitatu mfululizo bila kukosa na leo nasema kwamba Mwanahalisi ni gazeti maalumu lililoundwa kwa ajili ya kumshughulikia Edward Lowasa na Rostam Aziz.Siku ambayo hawa watu wawili hawatakuwepo basi na gazeti letu kipenzi litakuwa limekufa pia.Leo niko tayari kupinga na mtu yeyote kuwa "KAMA MWANAHALISI LIKIKAA MWEZI MMOJA TU HALIJAANDIKA HABARI YA LOWASA BASI NITATOA KWA NILIOPINGA NAE SHILINGI MILIONI MOJA" japo ni hela nyingi kwangu ila nina uhakika haziwezi kunitoka kw kuwa Mwanahalisi wanamuota mchana na usiku Edward Lowasa………. Kwa kweli Lowasa ni mvumilivu sana ningekuwa mie ningekuwa nimeshafungwa jela kwa kumshughulikia mtu mbaya kabisa ,siwezi kuchezewa namna hii.:angry:

Mkuu kwenye kekundu hako. Kwa kweli hata mimi nimekubali kwamba Lowasa ni mvumilivu. Bahati nzuri Lowasa sijui si mmasai kamili. Manake angekuwa Mmasai kamili ama Mkurya pangekuwa pameishakuwa padogo (hapatoshi) siku nyiiingi!!
 
Wewe una matatizo!
Tusipopata ufumbuzi wa kuwaondoa watu kama hawa tutaendelea kuona wezi wakichezea rasilimali za nchi hii. Njia pekee ni kuwapigia kelele kila kukicha! Acha unafiki wako!
 
kaka vua gamba, kwa mambo waliyofanya ccm na magamba yake yafaa wawekwe kwenye mada kila dakika. kama inakukera soma mzalendo na uhuru.
 
Mwana Halisi gazeti muhimu sana na uandikwaji wake unaonyesha watu wenye taaluma ya uhakika, yaandikwayo kuhusu Lowasa na Rostam ni ya uhakika na kamwe hawawezi kupinga watabaki kimya hivyo hivyo.

Kubenea Sued songa mbele kazi yenu ni nzuri sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mwanahalisi kiboko ndio lilonfanya niwepo hapa mimi. Kwa hivyo ondoa pumba yako hapa

Tuko pamoja hapo MS, lakini nimejaribu kuangalia thread zako nimekuwa nikupinga sana ila hapo kwa mwanahalisi pamoja sana mkuu
 
Nimeangalia kwa makini sana gazeti la Mwanahalisi kwa zaidi ya miaka mitatu mfululizo bila kukosa na leo nasema kwamba Mwanahalisi ni gazeti maalumu lililoundwa kwa ajili ya kumshughulikia Edward Lowasa na Rostam Aziz.Siku ambayo hawa watu wawili hawatakuwepo basi na gazeti letu kipenzi litakuwa limekufa pia.Leo niko tayari kupinga na mtu yeyote kuwa “KAMA MWANAHALISI LIKIKAA MWEZI MMOJA TU HALIJAANDIKA HABARI YA LOWASA BASI NITATOA KWA NILIOPINGA NAE SHILINGI MILIONI MOJA” japo ni hela nyingi kwangu ila nina uhakika haziwezi kunitoka kw kuwa Mwanahalisi wanamuota mchana na usiku Edward Lowasa……….Kwa kweli Lowasa ni mvumilivu sana ningekuwa mie ningekuwa nimeshafungwa jela kwa kumshughulikia mtu mbaya kabisa ,siwezi kuchezewa namna hii.:angry:

hello r u from magamba family?
 
Mwana Halisi gazeti muhimu sana na uandikwaji wake unaonyesha watu wenye taaluma ya uhakika, yaandikwayo kuhusu Lowasa na Rostam ni ya uhakika na kamwe hawawezi kupinga watabaki kimya hivyo hivyo.

Kubenea Sued songa mbele kazi yenu ni nzuri sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

saaafi saana bila mwanahalisi tusingewajua mafisadi na mbinu zao
 
mwanaharisi ni km gazeti la udaku mana lenyewe linaangalia mastar wa siasa km lowasa wamevaa nn wanakula nn ili hali kuna ishu chungu mzima za kuzungumzia cyo cri mnaboaaaaaaaaaaaaaaa!mbona mazuri yakr hamyasemi km kweli mna lengo zuri na huyu baba.
 
mwanaharisi ni km gazeti la udaku mana lenyewe linaangalia mastar wa siasa km lowasa wamevaa nn wanakula nn ili hali kuna ishu chungu mzima za kuzungumzia cyo cri mnaboaaaaaaaaaaaaaaa!mbona mazuri yake hamyasemi km kweli mna lengo zuri na huyu baba.
 
Mwanahalisi ndugu yangu ni viwango vingine jombaaaaaaaaaaaaa, Kubenea ni kamanda ile mbaya,bisha uone, funika afunue, uliza umjue, bandika akubandue. Think 1000 times b4 writing magambalism. Mwana halisi ni Mvua za mafuriko nyie magamba mnaoishi mabondeni mtakoma.Kubeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee tuko pamoja kamanda
 
Back
Top Bottom