Lowassa : Tutashinda uchaguzi 2020

Lowassa : Tutashinda uchaguzi 2020

a86e5d545d6269e9580762b5d87852df.jpg
Upinzani wa nchi hii ni kuuonea huruma, hivi hadi leo unaamini Lowasa ni mpinzani!??
 
Kabla ya chochote agenda no 1 lazima iwe KATIBA MPYA..
Hii italeta Tume Huru ya Uchaguzi ili tuondokane kwanza na hiki kichaka cha wezi wa kura kinachoratibiwa na Lubuva.
Bila Tume Huru ya Uchaguzi.. Hakuna ushindi.
we jamaaa unajipenda umesema mgonjwa huoni wote waliomtabiria hawapo .....[HASHTAG]#just[/HASHTAG] kidding
 
B5TWck5CUAAJdw1.jpg



Ma UVCCM yanatoa matusi hapo juu badala ya hoja kweli jamaa wamekaa ki maslahi



swissme
 
Kwani EDO ndiye mgombea wa urais 2020 CHADEMA? ukweli ni kwamba bado vikao halali vya chama hicho havijakaa kuteua mtu ambaye atapeperusha bendera yao katika kinyang'anyiro cha urais 2020
 
Labda watashinda njaa na si
Uchaguzi Lowassa braza pumzika
Tu urais unaupenda ila wenyewe
Haukupendi una nyota kukatwa
Waachie wenye nyota zao wang'are kama almasi
 
Hapo ni lazima ssa viongozi wetu wadai katiba mpya na tume huru otherwise tutaishia kulalamika kuibiwa tena 2020.
Jipeni moyo hapo ni usanii wa edo. Mtashinda kwa kuunga mkono ufisadi na kupinga hatua za kuondoa uzembe na ubadhirifu serikalini? Hivi chadema ina 'offerr' nini hasa..au ni kuuza sura ya edo na kutegemea kuchochea chuki. Kiitikadi cdm haiko na umma ila mabepari uchwara ambao njia yao inaishia kufukarisha umma na kuwaneemesha wao.
 
Labda watashinda njaa na si
Uchaguzi Lowassa braza pumzika
Tu urais unaupenda ila wenyewe
Haukupendi una nyota kukatwa
Waachie wenye nyota zao wang'are kama almasi
Wanaoshinda njaa ni wanyonge si lowasa!..
 
Kama 2015 alishindwa Pamoja na fursa zote alizopewa na Dr. Kikwete asahau kuwa Rais
 
Kwani EDO ndiye mgombea wa urais 2020 CHADEMA? ukweli ni kwamba bado vikao halali vya chama hicho havijakaa kuteua mtu ambaye atapeperusha bendera yao katika kinyang'anyiro cha urais 2020
Acha kujidanganya.....vikao vyote vimeshanunuliwa na Lowassa.

Na yy ndiye mgombea wa milele
 
Wanasiasa kama Lowasa ni watu muhimu sana kwenye mataifa haya ya Afrika kwa sababu wanaepusha vurugu zinazoweza kusababishwa na wafuasi wao wenye uchu wa kushinda uchaguzi ikifika 2020 atasema tutashinda 2025 ikifika 2025 atasema tutashinda 2030 miaka inasogea na maisha yanaenda wafuasi wake wanakuwa na imani tu ya kushinda uchaguzi unaofuata kwahiyo hakuna vurugu wala matatizo yatakayotokea Mungu akubariki Edo Lowasa uishi maisha marefu ukiendelea kuwa mgombea wa kudumu wa urais wa chadema hadi 2040.
 
Lowassa ni sawa na nyoka wa bujora makumbusho anatisha kwa sura lakini si kwa vitendo
 
Jipeni moyo hapo ni usanii wa edo. Mtashinda kwa kuunga mkono ufisadi na kupinga hatua za kuondoa uzembe na ubadhirifu serikalini? Hivi chadema ina 'offerr' nini hasa..au ni kuuza sura ya edo na kutegemea kuchochea chuki. Kiitikadi cdm haiko na umma ila mabepari uchwara ambao njia yao inaishia kufukarisha umma na kuwaneemesha wao.
hivi unafkiri chadema haya mnayoyaona magufuli analalamikia ssi hatukuwahi lalamikia?? issue za bandari sijui mikataba mibovu yote hayo upinzani uliyashkia bango ila mliona kma tunapiga kelele leo hii mmeumbuka. Hii ni nchi ya kidemokrasia siasa za ushindani hazieupukiku so kwakuwa nyie mnaona jpm anafanya kazi sana ndio mnataka upinzani usiweke mgombea urais eti kwkuwa tunapinga uwajibikaji na tutakuwa tunatete mafisadi?? mkuu naomba ukapitie tena elimu ya uraia ujue umuhim wa vyama vingi. lazma ujue kila chama kina aim kupata uongozi ndio maana hata kma obama kapiga sana maendeleo ila bado wamarekani wamekip chama cha republican lengo kuu likiwa kuona sera mbadala lakini haina maana kuwa obama alishindwa kuiongoza marekani vzuri. na ningependa hili ulielewe mkuu maana bila vyama vingi trust me chama tawala kitalala kabisa na maendeleo yatadorora ila kukiwepo na alternative parties wananchi wanaweza kuamua nani wampe ridhaa ya kuwaongoza na icho ndo kinafanya vyama tawala kupiga kazi kuleta maendeleo
 
Back
Top Bottom