OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Ujue kuwa bado hata hajalikaribia. Hujamalizia msemo wake... When we reach there. Na mafuriko na mvua hizi kutokana na mabadiliko ya tabia nchi asishangae asipolikuta daraja
Acheni kusemea watu subiri wakati ufike.
Ujue kuwa bado hata hajalikaribia. Hujamalizia msemo wake... When we reach there. Na mafuriko na mvua hizi kutokana na mabadiliko ya tabia nchi asishangae asipolikuta daraja
Kwani wapinzani wa Lowasa ni kina nani?
na umri wote ulio nao ujawajuwa bado??we naona bado fb panakuhusu
wadau!
Hii ni kauli ambayo mh lowassa amekuwa akiitoa mara kwa mara pindi tu anapoulizwa kama atatupa karata yake kweny mbio za urais,
Kauli hii imekuwa ikiwakosesha usingizi wapinzan wake mpaka kupelekea kuhaha huku na kule kutafuta namna gani ya kuweza kumdhibiti bila mafanikio
Lowassa hakuishia hapo januar mwaka aliwamakliza zaidi wapinzani wake alipokuja na misemo miwili ya kufungulia mwaka,wakwanza ulisema ''Safar ya matumaini''wapili ni ule uliosema ''Simama uhesabiwe''misemo hii imekuwa mwiba kwa wapinzan wake mpaka ilipelekea lowassa kupewa barua ya onyo,je misemo tu inaweza ikasababbisha mtu kupewa barua?
Lowassa kwa jinsi hali ilivyo amekosesha furaha na usingiz mahasimu wake ndani ya chama cha mapinduzi,nimekuwa nikijiuliza kama tu misemo aliyo ianzisha inawatesa kias hiki je siku akianza kufunguka itakuwaje?
Wameanza kuogopa kivuli cha lowasa siku picha yake halisi ikianza kuonekana itakuwaje?
Mpka tufike kweny uchaguzi MZEE WA MISEMO TATA ATAWATESA SNA WAPINZANI WAKE
Hebu atoe majibu Kuhusu RICHMOND huko badala ya kujifanya mwanasiasa anayetaka urais.
mbonaa wewe hujawahi kukanusha kuhusu wewe kutumiwa na hawara ya mbowe?
Hebu atoe majibu Kuhusu RICHMOND huko badala ya kujifanya mwanasiasa anayetaka urais.
na umri wote ulio nao ujawajuwa bado??we naona bado fb panakuhusu
ndiye raisi wa awamu.ijayo
Wewe ujana wako wote ina maana uliutumia FB na kwamba pensheni yako unakuja kuitafuta huku JF? Embu jikague tena!