itafika mahali tutavuka hiyo hatua ya kuokota makopo kama vichaa na kuanza mapambano ya walionacho na wasio nacho. Hii amani tunayodanganywa nayo na ccm ni ya muda tu kwani hakuna amani penye njaa.
hakuna amani tanzania ,,watanzania ni waoga na wenye hofu sana
Lowassa akiwa Rais huyo jamaa atapewa umeneja wa benki...