Suti za Mh Lowassa zimesimama Wakuu! Acha kabisa.
Sijui Sheria Ngowi ndo anamshonea!?
Safi lakini.....
.....Rais wa mioyo ya baadhi ya watanzania........
Ni wakati mzuri wake kustaafu siasa.....
Mi ntamkumbuka kwa ile speech yake kali ya ....WATANZANIA WANAJUA NA DUNIA INAJUA.Wana haki ya kufuatilia kinachoendelea bungeni kama raia wa Tanzania
Nitamkumbuka Lowasa kwa neno moja tu (kunyamaza kimya)ni silaha aliyoitumia kweli imemfanikisha.
Wana haki ya kufuatilia kinachoendelea bungeni kama raia wa Tanzania
Nitamkumbuka Lowasa kwa neno moja tu (kunyamaza kimya)ni silaha aliyoitumia kweli imemfanikisha.
Lowasa ni mwanasiasa aliyekomaa.Mi ntamkumbuka kwa ile speech yake kali ya ....WATANZANIA WANAJUA NA DUNIA INAJUA.
zinasimama hata akikaa?Suti za Mh Lowassa zimesimama Wakuu! Acha kabisa.
Sijui Sheria Ngowi ndo anamshonea!?
Wanalipwa na Chadema si unaona walitunga kuwa kamati kuu itakuwa Dodoma kukutana na wabunge wa Chadema? Lengo ilikuwa kuwatengenezea ulaji na wao watoke wakapunge upepo wa viyoyozi bungeni Dodoma lengo kuwasaidia Ku Steam out frustration zao kidogo.NIlichojifunza ni kuwa MTU aliyekuwa akikaa viti vya waheshimiwa Leo anakaa viti vya wageni ambavyo hata watoto wa shule hukalia wakienda kutembelea binge nawahurumia sumaye na lowasa wanadhalilisha hadhi ya uwaziri mkuu mstaafu.Swali je hapo wanalipwa kwa mahudhurio hayo au wanajitegemea
Chezea mwanasiasa wewe?hataki kuchunga????????????????????????/