Henry Kilewo
JF-Expert Member
- Feb 9, 2010
- 899
- 1,084
naendelea kuchunguza kwakutumia wa hudumu mbalimbali wa hoteli
baada kamati ya mzee mwiyi kuanza kazi yake, jana kwenye hoteli ya ngurudoto vigogo hawo wawli walikimbiana baada ya spika wa bunge samweli sitta kutotia miguu kweye hoteli hiyo, kamati hiyo ikaanza kuhaha huku na kula, ndipo muda si muda wakaamua kutoka na kauli moja na kumpigia simu ila walipo kuwa wanpiga simu ilikuwa haipatikana, ndipo lowassa akaanza kulongo huja jamaa kwani yeye ninani mpaka anaharibu apointment huu ni utovu wa nidhamu na haipendezi, upande wa sitta ambao walionekana dhahiri kutetea wakasema huwezi jua amekutwa nanini cha muhimu hapa tusubiri, ila ukweli ukadhihirika kuwas kamati hiyo ilikuwa na agenda ya kumbana sitta ndiyo maana hakutokea na mpaka majira ya saa nne usiku hakutokea ndipo kikao hicho kikafungwa, na baadhi ya makundi yakaanza kuondoka huku kundi la lowassa likielekea kwemye hoteli ya kibo palace inayo milikiwa na mramba

Wewe unadhani tumekusahau? Siku ya mikutano ya NEC dodoma ulikuwa unatudanganya na sasa bado unaendeleza propaganda zako hapa huna kazi ya kufanya?
Usiipotoshe JF bwana!! Fanya kazi nyingine mambo ya sitta na wenzake yatajulikana tu siku si nyingi!!
Mi nashindwa kabisa kumwelewa huyu bwana/bibi Kilewo...inaonekana ni professional mzushi!
- Mkuu Kilewo, heshima sana mkuu tafadhali jaribu sana kuheshimu mila na desturi za ukumbi, dataz tumeanza nazo siku nyingi sana na huwa zinawasaidia sana wananchi hapa kuelewa na kujumlisha na kutoa kuhusu mustakabali wa taifa lao, sasa jaribu kuwa responsible japo kidogo ili utamaduni wa dataz uendelee kama ulivyoukuta hapa jamviini, I mean leo nimeongea na Spika hayupo anywhere huko Ngurudoto wala hakukuwa na haya unayoyasema, please!
Respect.
FMEs!
Mi nashindwa kabisa kumwelewa huyu bwana/bibi Kilewo...inaonekana ni professional mzushi!
Nadhani lengo la Kilewo lilikuwa ni kutangaza kuwa kaka yake Mramba ana hoteli ila kaamua kuzunguka tu.