Lowassa, Sitta wakimbiana hoteli ya Ngurudoto Arusha

Henry Kilewo

JF-Expert Member
Feb 9, 2010
899
1,084
baada kamati ya mzee mwiyi kuanza kazi yake, jana kwenye hoteli ya ngurudoto vigogo hawo wawli walikimbiana baada ya spika wa bunge samweli sitta kutotia miguu kweye hoteli hiyo, kamati hiyo ikaanza kuhaha huku na kula, ndipo muda si muda wakaamua kutoka na kauli moja na kumpigia simu ila walipo kuwa wanpiga simu ilikuwa haipatikana, ndipo lowassa akaanza kulongo huja jamaa kwani yeye ninani mpaka anaharibu apointment huu ni utovu wa nidhamu na haipendezi, upande wa sitta ambao walionekana dhahiri kutetea wakasema huwezi jua amekutwa nanini cha muhimu hapa tusubiri, ila ukweli ukadhihirika kuwas kamati hiyo ilikuwa na agenda ya kumbana sitta ndiyo maana hakutokea na mpaka majira ya saa nne usiku hakutokea ndipo kikao hicho kikafungwa, na baadhi ya makundi yakaanza kuondoka huku kundi la lowassa likielekea kwemye hoteli ya kibo palace inayo milikiwa na mramba
 
Wewe kilewo acha uzushi na uvumi. Sita yuko mkutano wa Tanganyika Law Society bwana. Jamani aagh. Let us be responsible!!
 
Watanzania tutaacha lini kuongelea personalities kila siku? Tunawapa nguvu sana pale ambapo kila siku tunawaongelea watu hao hao huku mambo mengine yote yamesimama.

Sitta na Lowassa hawana jambo lolote la maana la kutufanya tupoteze muda kibao kuwaongelea.

Tujadili issues badala ya personalities. Kwa mfano ufisadi ni janga la taifa na utaendelea kuwepo hata akina RA, Lowasa au Sitta wakifa. Ni bora tujadili namna ya kupata viongozi waadilifu, namna ya kubadili sheria ili zilinde wananchi badala ya kulinda wenye madaraka au CCM. Hayo mambo ndiyo yanaweza kupunguza ufisadi.

Hapa JF ni kama asilimia 75 tunaongelea watu badala ya kuongelea issues.
 
baada kamati ya mzee mwiyi kuanza kazi yake, jana kwenye hoteli ya ngurudoto vigogo hawo wawli walikimbiana baada ya spika wa bunge samweli sitta kutotia miguu kweye hoteli hiyo, kamati hiyo ikaanza kuhaha huku na kula, ndipo muda si muda wakaamua kutoka na kauli moja na kumpigia simu ila walipo kuwa wanpiga simu ilikuwa haipatikana, ndipo lowassa akaanza kulongo huja jamaa kwani yeye ninani mpaka anaharibu apointment huu ni utovu wa nidhamu na haipendezi, upande wa sitta ambao walionekana dhahiri kutetea wakasema huwezi jua amekutwa nanini cha muhimu hapa tusubiri, ila ukweli ukadhihirika kuwas kamati hiyo ilikuwa na agenda ya kumbana sitta ndiyo maana hakutokea na mpaka majira ya saa nne usiku hakutokea ndipo kikao hicho kikafungwa, na baadhi ya makundi yakaanza kuondoka huku kundi la lowassa likielekea kwemye hoteli ya kibo palace inayo milikiwa na mramba

Heading = wamekimbiana na wakati habari = Amekimbia! Wapi na wapi.
BTW hizo agenda za kumbana Sita nani kaziandaa?Kuna ajenda zozote zenye kumbana mwenzake?Ama hiyo kamati ya Mwinyi ndo imegeuka rungu la mmojawapo?
Nahisi anything can happen this time uchaguzi mkuu.
 
baada kamati ya mzee mwiyi kuanza kazi yake, jana kwenye hoteli ya ngurudoto vigogo hawo wawli walikimbiana baada ya spika wa bunge samweli sitta kutotia miguu kweye hoteli hiyo, kamati hiyo ikaanza kuhaha huku na kula, ndipo muda si muda wakaamua kutoka na kauli moja na kumpigia simu ila walipo kuwa wanpiga simu ilikuwa haipatikana, ndipo lowassa akaanza kulongo huja jamaa kwani yeye ninani mpaka anaharibu apointment huu ni utovu wa nidhamu na haipendezi, upande wa sitta ambao walionekana dhahiri kutetea wakasema huwezi jua amekutwa nanini cha muhimu hapa tusubiri, ila ukweli ukadhihirika kuwas kamati hiyo ilikuwa na agenda ya kumbana sitta ndiyo maana hakutokea na mpaka majira ya saa nne usiku hakutokea ndipo kikao hicho kikafungwa, na baadhi ya makundi yakaanza kuondoka huku kundi la lowassa likielekea kwemye hoteli ya kibo palace inayo milikiwa na mramba

Wewe unadhani tumekusahau? Siku ya mikutano ya NEC dodoma ulikuwa unatudanganya na sasa bado unaendeleza propaganda zako hapa huna kazi ya kufanya?

Usiipotoshe JF bwana!! Fanya kazi nyingine mambo ya sitta na wenzake yatajulikana tu siku si nyingi!!
 
Mi nashindwa kabisa kumwelewa huyu bwana/bibi Kilewo...inaonekana ni professional mzushi!
 
Wewe umejuaje kwamba ni uzushi?Nini hasa kimezushwa?Wakija member wawili hapa wenye habari zinazopingana utajuaje ipi ni uzushi?Lazima utoe sababu a,b,c kwanini unaamini ni uzushi na si kubandika tu kimkumbo mkumbo....Kwasababu mtu kaja na kusema ni uzushi na wewe unafatilia tu kama kasuku,toa hoja kwamba ni kwanini unaamini ni uzushi.
 
- Mkuu Kilewo, heshima sana mkuu tafadhali jaribu sana kuheshimu mila na desturi za ukumbi, dataz tumeanza nazo siku nyingi sana na huwa zinawasaidia sana wananchi hapa kuelewa na kujumlisha na kutoa kuhusu mustakabali wa taifa lao, sasa jaribu kuwa responsible japo kidogo ili utamaduni wa dataz uendelee kama ulivyoukuta hapa jamviini, I mean leo nimeongea na Spika hayupo anywhere huko Ngurudoto wala hakukuwa na haya unayoyasema, please!

Respect.

FMEs!
 
Safi mkuu FMES,tofauti na Kiraka,wewe umetoa sababu ni kwanini unaamini habari hii ni uzushi,hivyo basi ndugu Kilewo anastahili kuja kujibu hapa na kama si kweli habari hizi pia awaombe radhi wana JF.
 
naendelea kuchunguza kwakutumia wa hudumu mbalimbali wa hoteli

Wewe kilewo ni mzushi sana umesema hadi saa nne usiku Sitta hakutokea na kikao kimefungwa sasa hao wahudumu watakusaidia nini usiku wa manane umezoea kuwadanganya wana JF siku ile ukasema Rostam alikuwa akifoka ile mbaya ndani ya Nec kumbe RA hakuwepo hata kwenye kikao siku hiyo jaribu kuwa mstaarabu kidogo tunakuheshimu
 
Huyu Kilewo ametumwa na kundi la Lowassa kuja kutuvuruga hapa JF. Kama Lowassa na Sitta watapatana au la, hiyo sio issue ya muhimu la muhimu ni Kuhakikisha kuwa nchi hii inafuata utawala wa sheria na wahalifu wote whether wameiba KUKU au mamillion ya Fedha za wananchi wote wanapata adhabu wanayostahili!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom