ARUMERU alikuwapo fisadi LOWASA na ndiyo maana wananchi wakatoa somo kuwa hataki Tanzania yenye mafisadi,mzee sitta anaipenda CDM ndiyo maana alikataa kuiba kura kama walivyopanga magamba,mzee ni msafi sana.
Mkuu labda hauelewi kitu,ulitaka EL aje physically ndio uone mchango wake? hebu fikirisha ubongo wako sawa sawaArumeru huwazi mlaumu Lowassa sana..kwani kama ni kampeni yeye amefanya siku mbili tu za mwisho.....Sasa hapo panahitajika kufanya utafiti wa kisomi ...kuwa aliyepunguza kura za ccm ni kina Mwigulu ,Wassira ,maji marefu..[mnampeleka mganga kwenye watu wenye imani kali ya dini ya kikristo]..SENDEKA na wengine ambao walifanya mikutano wiki tatu au ni huyu aliyefanya mikutano miwili ya mwisho........
Hapo napata mashaka kama Lowassa alienda kupunguza kura au at least alienda kupunguza gap...pengine asingeenda kabisa ....tofauti ingekuwa kura 10,000 ..na pengine mngempa angalau wiki ya kampeni mngeshinda kwa kura chache.....kumbukeni SENDEKA ,NAPE,na mwigulu walimzuia Kabisa Lowassa kufanya kampeni ...lakini angalau siku mbili alivyofanya kampeni alileta kauhai fulan
SABABU nyingine ni kuwa katika chadema tangu mwanzo ilionekana Mpiga debe waliyekuwa wakimuogopa kuliko wote ni Lowassa....tatizo ni kuwa ccm walikuwa wanapingana sana kumtumia.............kwa mantiki hiyo sishawishiki kabisa kuwa lawama hizi zinatakiwa kwenda kwa yeyote zaidi ya mwenyekiti wa kampeni na timu yake...
Arumeru huwazi mlaumu Lowassa sana..kwani kama ni kampeni yeye amefanya siku mbili tu za mwisho.....Sasa hapo panahitajika kufanya utafiti wa kisomi ...kuwa aliyepunguza kura za ccm ni kina Mwigulu ,Wassira ,maji marefu..[mnampeleka mganga kwenye watu wenye imani kali ya dini ya kikristo]..SENDEKA na wengine ambao walifanya mikutano wiki tatu au ni huyu aliyefanya mikutano miwili ya mwisho........

Kambi ya wale wanaojiita wapambanaji dhidi ya ufisadi ndani ya chama tawala cha CCM imepata pigo kubwa kufuatia matokeo ya uchaguzi wa ubunge jimbo la Arumeru mashariki na chaguzi za udiwani katika kata 8 tofauti. Kambi hiyo ilitoa wafuasi wake watatu kushiriki katika kampeni za chaguzi hizo mbalimbali. Samuel Sitta ambaye ndio kiongozi wa kambi hiyo alipiga kambi jijini Mwanza na kuongoza kampeni katika uchaguzi mdogo wa udiwani katika kata ya Kirumba na kushindwa kuwashawishi vilivyo wakazi wa Kirumba ambao walimchagua mgombea wa CHADEMA kuwa diwani wao. Naye Anne Kilango alipiga kambi huko kiwila kuongoza kampeni za uchaguzi mdogo katika kata ya Kiwira lakini naye aliangukia pua kwani mwisho wa siku mgombea wa CHADEMA aliibuka mshindi dhidi ya mgombea wa CCM. Kama hiyo haitoshi, Christopher Ole Sendeka alikuwa mmoja wa wana ccm walioshiriki kikamilifu katika kampeni za uchaguzi mdogo wa jimbo la Arumeru Mashariki lakini pia ushawishi wake na ule wa makada wengine wa ccm haukutosha kubadili mawazo ya wananchi wa Arumeru ambo bila ajizi wamemchagua Joshua Nassari wa CHADEMA kuwa mbunge wao. Matokeo hayo kwa ujumla ni pigo kubwa kwa kambi ya Samuel Sitta ambayo wakati Fulani ilionekana kuaminiwa na wananchi hasa wakati huu ambapo Samuel Sitta ameshaeleza nia yake ya kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015. Sasa wananchi wameonesha kwamba hawana imani hata na wana CCM wanaojipambanua kama wapinga ufisadi. Sasa nani aaminiwe katika CCM????!!!!!!!
utawaamini kwa lipi hakuna hata mmoja ndani ya ccm unaeweza kumuamini wenyewe tu hawaaminiani........ kila baya ni lao,,,,sumu ufisadi ujambazi wizi uchawi uwongo uliopindukia unafiki we angalia tu hili la umeme wala ukiulizwa darasani kama ni mtihani huwezi kuwa na jibu sahihi
E.L bado ana nguvu na anakubalika kwa wananchi, Atakumbukwa kwa mengi kuumwa kwake kumechangia kushindwa. Pengo lake linaonekana. Mzee wa vitendo hakika ndo karata ya mwisho 2015. Wanasiasa watendaji kama huyu mzee namfananisha na Rais Kagame.Maneno mengi co kipaumbele cha kizazi hiki. Action speeks louder than words. Lwaigwanani for presidency 2015
Arumeru huwazi mlaumu Lowassa sana..kwani kama ni kampeni yeye amefanya siku mbili tu za mwisho.....Sasa hapo panahitajika kufanya utafiti wa kisomi ...kuwa aliyepunguza kura za ccm ni kina Mwigulu ,Wassira ,maji marefu..[mnampeleka mganga kwenye watu wenye imani kali ya dini ya kikristo]..SENDEKA na wengine ambao walifanya mikutano wiki tatu au ni huyu aliyefanya mikutano miwili ya mwisho........
Hapo napata mashaka kama Lowassa alienda kupunguza kura au at least alienda kupunguza gap...pengine asingeenda kabisa ....tofauti ingekuwa kura 10,000 ..na pengine mngempa angalau wiki ya kampeni mngeshinda kwa kura chache.....kumbukeni SENDEKA ,NAPE,na mwigulu walimzuia Kabisa Lowassa kufanya kampeni ...lakini angalau siku mbili alivyofanya kampeni alileta kauhai fulan
SABABU nyingine ni kuwa katika chadema tangu mwanzo ilionekana Mpiga debe waliyekuwa wakimuogopa kuliko wote ni Lowassa....tatizo ni kuwa ccm walikuwa wanapingana sana kumtumia.............kwa mantiki hiyo sishawishiki kabisa kuwa lawama hizi zinatakiwa kwenda kwa yeyote zaidi ya mwenyekiti wa kampeni na timu yake...
You can't be seroius right?? The issue is people are tired of CCM. They can't be fooled all the time. You can try hard to clean up EL, but the truth remains.