Hatujali din,rangi,kabila,ukanda wala umri tutampigia lowassa atunyoshee mazoea ya ccm kuona wao wanahati milki ya nchi.
lowasa ana busara sana, kwanza ni kiongozi msikifu na pia mkarimu sanaa. kunyamaza kwake kimya n pigo kubwa kwa mpumbavu.
Ndo mana ccm wanaweweseka kwel kumchafua lakn jamaa yuko still vle vle.. LOWASA ANATOSHAAAAAAAAAAAAAAAAA
Mmiliki wa chombo cha habari utamjuwa kwa maandishi yake tu, haiitajiki kuambiwa ni nani.
Kukaa kimya ni jibu
lowassa ni mwanasiasa wa ajabu sana yeye huwa hapendi kuwazungumzia wengine ktk kampeni zake