Lowassa sasa kwisha habari yake

Lowassa sasa kwisha habari yake

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024

12096528_498121800347929_2513610596982844694_n.jpg

Huyu ni Lowassa akiwa katika mbinu zake za kugawa fedha ili kununua watu.
 
Kuwa makini cyber crime ita sema na wewe, usidhani na huku JF hawapo wachunguzi wewe post vi picha vyako ili upate comments nyingi ila mwisho wa siku.. itakula kwako..
 
Uzombie ni kazi mbaya sana. Ccm mna kazi kweli kulea mazombie wenu.
 
Atajibu mwenye Lowassa, alikuwa anafanya nini na hizo fedha? Hapo sasa
 
hhahahhahahahhaahah bora aitunze hyo make wabongo ndo tumeshashtukaaa hvoooooo
 
Uzombie ni kazi mbaya sana. Ccm mna kazi kweli kulea mazombie wenu.
Angalia hapa kada wa CHADEMA akiombewa na Dr. Magufuli na kujikabidhi kwa Chama cha Mapinduzi.

attachment.php

attachment.php
 
hhahahhahahahhaahah bora aitunze hyo make wabongo ndo tumeshashtukaaa hvoooooo
Sasa Lowassa anaweweseka ile mbaya. Anasubiri kiyama yake October 25. Kwisha ahabari yake.
 
Sawa junior ccm member
tunakujuaa vizuriiii
siumetumwaa kwanziaa Jana

Kazana
 
we utakua gosha si buree..itakua wanaume wenzako wanapulia mgongoni mwakoooo
 
[h=3][/h]

12096528_498121800347929_2513610596982844694_n.jpg

Huyu ni Lowassa akiwa katika mbinu zake za kugawa fedha ili kununua watu.

Una uhakika gani kama alikuwa anataka kugawa fedha ili kununua watu.
Ww ndio inabidi utuelezee, na kwann hayo maneno umeyaandika kwenye picha?
Watu kama nyie ndio inabidi tuwatafute ili sheria ianze na nyie.
 
There is a law called conspiracy, do you know it?
 
Hukunisomesha, huwezi niuliza kwa kiingereza ili hali nimetoa maoni kwa kiswahili. Ila subiri wahusika watakukamata siku zako zikifika.
 
Nina wasiwasi na upstairs kwako [MENTION]Mr. Juu[/MENTION]!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom