Ameshindwa kutoa maoni yake juu ya utendaji kazi wa wanawake licha ya kushika nyadhifa kubwa serikalin.Kwa tafsiri yangu ni kwamba ameogaopa kuwapaisha wanawake
Wangapi wanatoa misaada makanisani,,, misikitini,,ila lowassa akitoa utasikia ni rushwa ama anatafuta madaraka hivi nyie hizi chuki zenu haziishi?
Salim nae si walimpa Fitna hao hao wakina mzeee mvi ko naye acha alipwe alichokifanyaUnakumbuka ya Salim Ahmed Salim? Mzee wa watu wakampiga fitna za kufa mtu akabaki anashangaa na mpaka leo hana hamu nao kabisa.
SAFII HIYO ...lowasa yuko vizur
Lowassa anakemea rushwa? Ni utani ama?
Sana. Kwenye rushwa eh?
Mbona mtangazaji hakumuuliza hili swali muhimu kuhusiana na yeye kuhusishwa na ufisadi/rushwa ya kampuni ya ufuaji wa umeme ya Richmond iliyomfanya auteme u PM?
Nadhani ujumbe mkuu ktk mahojiano yake na huyo mtangazaji wa DW Radio ilikuwa ni rushwa/ufisadi. Hili swali lilikuwa muhimu aulizwe......" umesema rushwa ni kansa inayoitafuna jamii na taifa. Unazungumziaje wewe kuhusishwa na ufisadi wa Richmond na ni nini uhusika wako ktk sakata hilo?"