Lowassa, Punguza Sherehe na Tafrija!

Mbowe mkumbushe lowassa kapeni zilishaanza aache kuzunguka mitaa ya dar. Watu wanataka sera.akumbuke kelo haziko dar ziko nchi zima

msimfundishe Lowassa siasa..Anajua nini anafanya ..We nenda Katavi kwa mzee wa abiseremaaa kwa kuwa kaanza kampeni
 
wakati anaanda hizo pati alikuwa hajui umasikini wa watanzania

Hata sasa haujui, ndo maana anazunguka mitaani kuutafiti. Wamasai wamezagaa mijin wakichunga magari badala ya kuchunga ng'ombe, halafu yeye anadai anauchukia umaskini tena anaenda mitaani kuutafiti. Kashindwa kuuona umaskini kwa watu wanaomzunguka, umaskini wa taifa atauweza?
 
Hivi huyu jamaa mbona ameutafuta sana urais kuna nini hapo! Kwa nini asitulie kama wengine kwanza mgonjwa.
 
Mbowe mkumbushe lowassa kapeni zilishaanza aache kuzunguka mitaa ya dar. Watu wanataka sera.akumbuke kelo haziko dar ziko nchi zima

Mbowe bado yupo kwenye mtaharuki akizifikiria jinsi atakavyozipiga pesa kila mwezi zitakazo kuwa anapewa na NEC baada ya uchaguzi ....si anaona safari hii atapata mara tano zaidi ya alivyopata kupitia msusaji Slaa alivyopata chaguzi 2010
Mbowe mzee wa dili kupitia siasa...anaangalia biashara yake kwa mtaji wa kisiasa...
 
msimfundishe Lowassa siasa..Anajua nini anafanya ..We nenda Katavi kwa mzee wa abiseremaaa kwa kuwa kaanza kampeni

Ndio yupo anaangalia uhalisi wa umasikini wa Mtanzania maana kumbe alikuwa hajui....! Kumbe aliichukia umasikini hadi masikini mwenyewe....!
 
Back
Top Bottom