VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
Craaaaaaap!Lowassa bado anasumbuliwa na jinamizi la kujiuzulu.Anajitahidi kujisafisha.Kuna kila uwezekano kuwa Waziri Mkuu mjiuzulu,Edward Lowassa anahusika moja kwa moja na mgomo wa Madaktari unaoendelea nchini kote.Taarifa rasmi zinaoonyesha kuwepo kwa vikao vya siri kati ya watu wa karibu wa Lowassa na viongozi wa wadaktari walio kwenye mgomo akiwemo Mwenyekiti wao Dr.Stephen Ulimboka.
Taarifa zinaonyesha kuwa ni watu wa Lowassa waliosalia Ofisi ya Waziri Mkuu ndio waliowapenyezea nyaraka Madaktari hao kuwa posho na mishahara yao imepanda ila Serikali imegoma kuanza kuitekeleza.Mishahara na posho hizo zilipanda kipindi ambacho Lowassa alikuwa Waziri Mkuu.Lowassa amekuwa akifadhili mgomo wa Madaktari hao ili kuhakikikisha kuwa Ofisi aliyojiuzulu aitawaliki.Wachambuzi wa mambo wanasema kuwa Waziri Mkuu Pinda ameshaung'amua mpango wa Lowassa na ndio maana alijitosa mojakwamoja kwenye sakata hilo.
Watu wa karibu wa Lowassa ambao wanatumiawa kutimiza mpango huo wameapa kuifanya Ofisi ya Waziri Mkuu kuwajibika badala ya Wizara ya Afya inayoongozwa na Dr,Haji Mponda.Lowassa anacheza mchezo salama?
Lowassa bado anasumbuliwa na jinamizi la kujiuzulu.Anajitahidi kujisafisha.Kuna kila uwezekano kuwa Waziri Mkuu mjiuzulu,Edward Lowassa anahusika moja kwa moja na mgomo wa Madaktari unaoendelea nchini kote.Taarifa rasmi zinaoonyesha kuwepo kwa vikao vya siri kati ya watu wa karibu wa Lowassa na viongozi wa wadaktari walio kwenye mgomo akiwemo Mwenyekiti wao Dr.Stephen Ulimboka.

Craaaaaaap!
Mudslung politikz, this is very low ewe kibaraka unaelipwa kumchafua Lowassa. Tumechoka na thread daily zisizo na mshiko
Nyambaaaaf!

ngoja nikuongezee hoja-..........inasemekana lowasa anamtumia sana yule mtoto wake ambaye ni daktari.mtoto huyu wa lowasa ameonekana akipata dina mara kadhaa na dr ulimboka.