Lofa ni wewe, kwani ilivyokuwa $107 kwa pipa na being ya lits kuwa tshs2100 yalikuwa yamechujws?
Wanajamvi.
Ni kilio cha kusaga meno mitaani kwani bei ya petroli na diesel ipo juu kutokana na wakubwa kuishikilia biashara hii.
Mgombea urais kupitia CHADEMA Edward Lowassa amesema ataporomosha bei ya mafuta akitinga ikulu kwani kufanya hivyo kutasaidia mfumuko wa bei kuwa chini kwa bidhaa nyingine.
Ameongelea wapi hiyo hospitali?
Labda mafuta ya alizeti haha..... Na unaamini kweli itakua hivyo? Hivi wewe ni kilaza eeee?
wewe acha kujitoa fahamu hizo ni bei za mafuta ambayo hayajasafishwa ndio hutolewa takwimu zake na kuuzwa kwa pipa sio lita sasa umejiuliza gharama za kuyasafisha mpaka yanakuja kwako ikoje?....Lowassa hana uwezo wa kushusha mafuta bei tusijidanganye
Acha mwehu awafurahishe wenzie
Wewe ndo kichwa maji kweli. Ile kodi serikali yenu ya magamba iliyoongeza kwenye mafuta si ndiyo hii inayotumaliza kwenye bei. Utaongezaje kodi kwenye bidhaa muhimu kama mafuta?kusema tu atashusha bei ya mafuta NYUMBU wanafurahi! hivi mmewahi kujiuliza atashushaje au ana visima vya mafuta!?
tumieni hiyo zawadi ya kichwa kwa kufikiri angalau kidogo sio kufugia nywele tu
Duniani kote bei ya Mafuta imeshuka sana ... $38 kwa pipa kutoka $ 85 kwa pipa !!! CCM wamekuwa wakipandisha kwa maslahi yao ...
Mara $40 Mara $38, sasa mwisho mtasema pipa la mafuta ni bure, ila kumbuka hiyo $40. Ni crude oil, basi ujue Lowassa wenu atashusha bei ya crude oil..... Ila pure oil, ukitaka chuja crude oil then pitia gharama zote, utaniambia ungekua ni wewe, umechuja, ukasafirisha, bado tenderer atake faida, je bei ungetaka ifike shingapi? Ulitaka Lita iuzwe buku nini?
kusema tu atashusha bei ya mafuta NYUMBU wanafurahi! hivi mmewahi kujiuliza atashushaje au ana visima vya mafuta!?
tumieni hiyo zawadi ya kichwa kwa kufikiri angalau kidogo sio kufugia nywele tu
Mara $40 Mara $38, sasa mwisho mtasema pipa la mafuta ni bure, ila kumbuka hiyo $40. Ni crude oil, basi ujue Lowassa wenu atashusha bei ya crude oil..... Ila pure oil, ukitaka chuja crude oil then pitia gharama zote, utaniambia ungekua ni wewe, umechuja, ukasafirisha, bado tenderer atake faida, je bei ungetaka ifike shingapi? Ulitaka Lita iuzwe buku nini?
Labda mafuta ya alizeti haha..... Na unaamini kweli itakua hivyo? Hivi wewe ni kilaza eeee?
Hivi tangu lini mwizi akwa mtu wa msaada kwa jamii?Wanajamvi.
Ni kilio cha kusaga meno mitaani kwani bei ya petroli na diesel ipo juu kutokana na wakubwa kuishikilia biashara hii.
Mgombea urais kupitia CHADEMA Edward Lowassa amesema ataporomosha bei ya mafuta akitinga ikulu kwani kufanya hivyo kutasaidia mfumuko wa bei kuwa chini kwa bidhaa nyingine.
Hivi tangu lini mwizi akwa mtu wa msaada kwa jamii?
Kweli Lowasa ufisadi umemchanganya hasa baada ya kusikia kuwa mahakama ya mafisadi itaanzishwa ndiyo kachanganyikiwa kabisa.Kaa kimya si lazima uwe unacomment kila kitu kama hujui mambo ya hydrocarbon! ... Crude oil inatoa product nyingi na kwa taarifa yako hapa tunazungumzia bei ya pipa siyo lita moja... kweli CCM mtaji wao ni Ujinga !!! Unajua sababu ya kuua TIPPER? MAJIZI MAKUBWA ...
Kaa kimya si lazima uwe unacomment kila kitu kama hujui mambo ya hydrocarbon! ... Crude oil inatoa product nyingi na kwa taarifa yako hapa tunazungumzia bei ya pipa siyo lita moja... kweli CCM mtaji wao ni Ujinga !!! Unajua sababu ya kuua TIPPER? MAJIZI MAKUBWA ...
We mpumbavu mwambie fisadi lenu kuwa hapati kitu na mahakama ya ufisadi sasa inaanzishwa sijui ataponea wapi.alokuzaa ndo atakuwa mwizi sonofabitch wewe