DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,652
- 2,642
Wanajamvi.
Ni kilio cha kusaga meno mitaani kwani bei ya petroli na diesel ipo juu kutokana na wakubwa kuishikilia biashara hii.
Mgombea urais kupitia CHADEMA Edward Lowassa amesema ataporomosha bei ya mafuta akitinga ikulu kwani kufanya hivyo kutasaidia mfumuko wa bei kuwa chini kwa bidhaa nyingine.
Ni jambo la heri sana hili; tumwombee maisha marefu na aione Ikulu. Haiingii akilini soko la dunia mafuta yako chini ya USD 40 kwa pipa lakini Dar ni more than T.Sh. 2,290 per litre. Huko mikoani ndio balaa.
Acha kujitoa ufahamu wewe, 2010 chama Fulani kilikuwa na Sera ya elimu bure kwa wrote kuanzia chekechea had I chuo, chama kikubwa na wanazi wake wakapinga katakata kwamba haiwezekani na kwamba haitakuwa, cha kushangaza Leo 2015 chama like like kikubwa kinajinadi na wagombea wao kuwa watatoa elimu bure iwapo watarudi tens madarakana kitu walichokipinga 2010. Sasa sisi wananchi wa kawaida tuwaeleweje? Kwa mantiki hiyo usilete ubishi kwamba being ya mafuta haiwezi kushuka, yeye anajua atafanyaje hadi halo hiyo itokee. Tusiwe wanazi kupitiliza kwa vitu ambavyo so kwa faida ya wengi. Watanzania tulipofikia mabadiliko lazima, tukiwapa nafasi wakashindwa kutekeleza ahadi zao tutawahukumu muda ukifika, ila kwa sasa acha tuwape nafasi.kusema tu atashusha bei ya mafuta NYUMBU wanafurahi! hivi mmewahi kujiuliza atashushaje au ana visima vya mafuta!?
tumieni hiyo zawadi ya kichwa kwa kufikiri angalau kidogo sio kufugia nywele tu
kusema tu atashusha bei ya mafuta NYUMBU wanafurahi! hivi mmewahi kujiuliza atashushaje au ana visima vya mafuta!?
tumieni hiyo zawadi ya kichwa kwa kufikiri angalau kidogo sio kufugia nywele tu
Mtimbo Wewe ndio unaweza kuwa Nyumbu,
FACTS: mafuta yalikua TZS 2100 wakati pipa likiwa USD 107 (sawa na TZS188,320 sawa na TZS941 per litre) bei ya mafuta ikashuka hadi USD 55 sawa na TZS 118,800 sawa na TZS594. Bei ya Mafuta mtaani ni TZS 2298
Angalia hapa: Bei ya lita mtaani ilikua TZS 2,100 wakati wananunua lita kwa TZS 941
sasa hivi bei 2,298 wakati wananunua lita kwa TZS 594.
SAWLI nani Nyumbu? Je kama kweli Lowasa kasema mafuta yatashuka kuna logic?
Note bei ilipokua USD107 exchange rate 1760 na sasa bei USD55 nimetumia exchange 2160
Kumbuka pia gharama za usafirishaji duniani zimeshuka kwa sababu ya kushuka kwa gharama za mafuta not considered.
Tujadiliane bila matusi
kusema tu atashusha bei ya mafuta NYUMBU wanafurahi! hivi mmewahi kujiuliza atashushaje au ana visima vya mafuta!?
tumieni hiyo zawadi ya kichwa kwa kufikiri angalau kidogo sio kufugia nywele tu