Binafsi nilishtuka sana kumsikia Rais mtarajiwa akiahidi hadharani ku frustrate maamuzi ya Mhimili wa mahakama bila hata kusema atatumia sheria ipi. Tunajua Rais ana mamlaka ya kutoa msamaha kwa wafungwa kwa mujibu wa Katiba na Sheria nyingine. Lakini msamaha huo hautolewi kihorelahorela na kwa kosa lolote tu bila kufuata guideline zilizopo.
Babu Seya kwa kosa aliloshtakiwa na kufungwa kwalo haliko na muda wa kifungo alichopewa (Maisha) halimo katika orodha ya makosa ya kusamehewa na kutolewa jela. Sijui huyu atakuwa ni Rais wa aina gani.
Nadhani Lowassa amepoteza uwezo wa kutafakari kwa kina na anaoambatana nao pia ni laymen kwa mambo mengi tu achana kuwa laypersons wa kisheria tu.
Huyo mwenyekiti wa CDM ndo layman wa mambo mengi sana na hata anayodhani anajua anayajua kijuujuu tu na nadhani hata washabiki wao wengi ni wa aina hiyohiyo. Wakipewa viroba, wakawekewa mafuta kwenye bodaboda, posho kidogo iso zidi 20000 wako tayari kuandamana na kushangilia lolote litokalo vinywani mwa hao wakubwa zao.
Hivi wewe ambaye una mtoto wako wa kike au kiume mwenye umri wa miaka 10 na kurudi chini hadi 6 anapobakwa tena kwa namna ile ya kuchangiwa na watu zaidi ya mmoja na akaharibiwa sehemu zake za siri mbele na nyuma utakuwa na ushujaa wa kumshangilia rais ajaye anyesema atawaachia huru wabakaji wa aina ya Babu seya?
Mahakama ya Rufaa ndiyo chombo cha juu kabisa cha utoaji haki nchini kwetu na ina majaji weredi sana na kwa hiyo uamuzi wake ni wa mwisho. Leo unawezaje kuwa na rais ambaye anasisitiza kuwa ataingilia uhuru wa Mahakama?
hivi rais akisema huyo mtu afungwe kwa uelewa wako mdogo unafikiri mahakama itafanya nini?Binafsi nilishtuka sana kumsikia Rais mtarajiwa akiahidi hadharani ku frustrate maamuzi ya Mhimili wa mahakama bila hata kusema atatumia sheria ipi. Tunajua Rais ana mamlaka ya kutoa msamaha kwa wafungwa kwa mujibu wa Katiba na Sheria nyingine. Lakini msamaha huo hautolewi kihorelahorela na kwa kosa lolote tu bila kufuata guideline zilizopo.
Babu Seya kwa kosa aliloshtakiwa na kufungwa kwalo haliko na muda wa kifungo alichopewa (Maisha) halimo katika orodha ya makosa ya kusamehewa na kutolewa jela. Sijui huyu atakuwa ni Rais wa aina gani.
Nadhani Lowassa amepoteza uwezo wa kutafakari kwa kina na anaoambatana nao pia ni laymen kwa mambo mengi tu achana kuwa laypersons wa kisheria tu.
Huyo mwenyekiti wa CDM ndo layman wa mambo mengi sana na hata anayodhani anajua anayajua kijuujuu tu na nadhani hata washabiki wao wengi ni wa aina hiyohiyo. Wakipewa viroba, wakawekewa mafuta kwenye bodaboda, posho kidogo iso zidi 20000 wako tayari kuandamana na kushangilia lolote litokalo vinywani mwa hao wakubwa zao.
Hivi wewe ambaye una mtoto wako wa kike au kiume mwenye umri wa miaka 10 na kurudi chini hadi 6 anapobakwa tena kwa namna ile ya kuchangiwa na watu zaidi ya mmoja na akaharibiwa sehemu zake za siri mbele na nyuma utakuwa na ushujaa wa kumshangilia rais ajaye anyesema atawaachia huru wabakaji wa aina ya Babu seya?
Mahakama ya Rufaa ndiyo chombo cha juu kabisa cha utoaji haki nchini kwetu na ina majaji weredi sana na kwa hiyo uamuzi wake ni wa mwisho. Leo unawezaje kuwa na rais ambaye anasisitiza kuwa ataingilia uhuru wa Mahakama?
laana ya babu seya itawamaliza ccm
Mkuu kwani hujui kuwa Lowasa hana sera ni mtu fulani mropokaji tu.
Tulisha jadili hii mada wiki mbili zilizo pita Moderator unganisha huu uzi na ule wa "lowassa atamtoa babu seya gerezani"
Uliyetoa post uko vizuri katk sector moja lakin nyingne unataka kuzidi. Umesema kuwa et KUWABAKA NAMNA ILE NA UNGEKUWA WEWE MWANAO KAFANYWA VILE..... Ulifanikiwa kuwaona hao waliobakwa na unaweza kuprove wewe hapa bila hata kuacha chembe ya shaka ukatuaminisha kuwa ni kwreli walibaka au basi tu ushatekwa na siasa? Otherwise, umeongelea vyema kuingilia muhilimili wa mahakama lakin ktk kubakwa na kuongea kanakwamba ulikuwa eye witness ambaye kisheria is a good witness hapo ungeeleweka faster lakin umetia chumvi tu.
hivi rais akisema huyo mtu afungwe kwa uelewa wako mdogo unafikiri mahakama itafanya nini?
kwa akili yako unafikiri mahakama ya rufaa inasimamiwa na malaika? kwa ccm hata mmchukue malaika awe rais baada ya wiki moja atakuwa fisadi
mwaka huu lowasa atawashusha suruali mpaka chini ya magoti
siombaya tukajadili tena labda ukawa wenzetu mtakuwa mmegundua kitu kwenye sheria za nchi yetu zinazo mpa rais wenu uwezo huo aliosema inasemekana ni moja kati ya sera nzur na kuu aliyokua nayo
kaka hivi kati ya lowassa na chama chako ni nani mropokaji? Na ni nani hana sera ikiwa chama chako kimekaa madarakani zaidi ya miaka 50 na kimeshindwa kuondoa umaskini ulio kithiri?
Binafsi nilishtuka sana kumsikia Rais mtarajiwa akiahidi hadharani ku frustrate maamuzi ya Mhimili wa mahakama bila hata kusema atatumia sheria ipi. Tunajua Rais ana mamlaka ya kutoa msamaha kwa wafungwa kwa mujibu wa Katiba na Sheria nyingine. Lakini msamaha huo hautolewi kihorelahorela na kwa kosa lolote tu bila kufuata guideline zilizopo.
Babu Seya kwa kosa aliloshtakiwa na kufungwa kwalo haliko na muda wa kifungo alichopewa (Maisha) halimo katika orodha ya makosa ya kusamehewa na kutolewa jela. Sijui huyu atakuwa ni Rais wa aina gani.
Nadhani Lowassa amepoteza uwezo wa kutafakari kwa kina na anaoambatana nao pia ni laymen kwa mambo mengi tu achana kuwa laypersons wa kisheria tu.
Huyo mwenyekiti wa CDM ndo layman wa mambo mengi sana na hata anayodhani anajua anayajua kijuujuu tu na nadhani hata washabiki wao wengi ni wa aina hiyohiyo. Wakipewa viroba, wakawekewa mafuta kwenye bodaboda, posho kidogo iso zidi 20000 wako tayari kuandamana na kushangilia lolote litokalo vinywani mwa hao wakubwa zao.
Hivi wewe ambaye una mtoto wako wa kike au kiume mwenye umri wa miaka 10 na kurudi chini hadi 6 anapobakwa tena kwa namna ile ya kuchangiwa na watu zaidi ya mmoja na akaharibiwa sehemu zake za siri mbele na nyuma utakuwa na ushujaa wa kumshangilia rais ajaye anyesema atawaachia huru wabakaji wa aina ya Babu seya?
Mahakama ya Rufaa ndiyo chombo cha juu kabisa cha utoaji haki nchini kwetu na ina majaji weredi sana na kwa hiyo uamuzi wake ni wa mwisho. Leo unawezaje kuwa na rais ambaye anasisitiza kuwa ataingilia uhuru wa Mahakama?
Jinsi mnavyomsema huyu jamaa ata asiemjua itabidi ampende tu manake atajua mmejaa chuki na fiksi na mmejaa woga kweli kweli...miaka nane mnamsema lkn umaarufu unazidi kupaa tu..poleni sana
Hakuna aliebakwa wala nini goma la mkuu lililiwa