Lowassa: Nitamtoa Babu Seya gerezani

Lowassa: Nitamtoa Babu Seya gerezani

Status
Not open for further replies.
Kumtoa km rais inawezekana sbb rais amepewa mamlaka ya kusamehe mfungwa wa kosa lolote
 
Eddy wewe ñdiye Mkulu mwenyewe au unatoka katika familia ya Mkulu?Just asking!

Sina uhusiano na JK wala mie sio JK, ni mzazi mwenye watoto, huyu babu seya angekuwa kawafanyia wanangu mie ndo ningekura segerea na yeye yuko kinondoni na watu walishasahau kama alikuwepo.

Lowasa amtoe tu tuje tummalizie mtaani kwa kiberiti petrol na matairi.
 
Kwikwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii labda EL ni shoga kama alivyo M,kiti mmoja hapo. Kuna tetesi Babu Seya ni Basha. Sasa jaza hapo
 
Nimestuka Lowassa kudharau utawala wa sheria. Babuseya alikata rufaa mahakama kuu ya Tanzania na kushindwa kwa kosa la ubakaji na udhalilishaji watoto.

Je Lowassa hautambui mhimili wa mahakama? Je utaachia wafungwa wote?

Lowassa ataleta mgongano wa kidola.

Chanzo: Raia Tanzania
Heeee mbona ahadi zingine zitaleta sokomoko!
 
EL kayasema kini na wapi wakuu? Yamkini anajua mkasa mzima. Balali anasubiliwa Nov 2015!
 
Nimestuka Lowassa kudharau utawala wa sheria. Babuseya alikata rufaa mahakama kuu ya Tanzania na kushindwa kwa kosa la ubakaji na udhalilishaji watoto.

Je Lowassa hautambui mhimili wa mahakama? Je utaachia wafungwa wote?

Lowassa ataleta mgongano wa kidola.

Chanzo: Raia Tanzania
Ni mahakamani hiyo hiyo ilimkataa mgombea binafsi baada ya kuwa wameshinda Kesi kote lakini Jaji Augustino Ramadhani akachakachua , huko mahakamani kuna mapungufu Yao na hayo ya babu seya ni Moja ya mapungufu . Mbona Kamati kuu na Kamati ya maadili ilimkata jina Jaji Ramadhan kwa kisingizio cha kutokuwa na Nidhamu? Jaji Ramadhan , bilali na Pinda hawakuwa na Nidhamu? Sasa iweje waendelee kutawala Nchi hii?kesi ya babu seya ina utata mwingi ni Kesi ya Ajabu ina mambo mengi nyuma ya pazia na chini ya kapeti.
 
Nimestuka Lowassa kudharau utawala wa sheria. Babuseya alikata rufaa mahakama kuu ya Tanzania na kushindwa kwa kosa la ubakaji na udhalilishaji watoto.

Je Lowassa hautambui mhimili wa mahakama? Je utaachia wafungwa wote?

Lowassa ataleta mgongano wa kidola.

Chanzo: Raia Tanzania
corrupt mhimili! ....tutamtoa
 
Rais ana mamlaka ya kumtoa mfungwa yeyote gerezani

Inategemea na kosa wewe,rais hana mamlaka ya kumtoa mtu mwenye kesi kama ya
1: ubakaji
2: robbery
3: murder
4: uhaini (hapa labda awasamehe kabla hawajahukumiwa)
 
Ni vyema kabla ya kkupost mada ukawa na facts. Kwa mujibu wa kkatibaRRaisana mmadaraka ya kumsamehe mfungwa yeyote bila kujalisha kama kakata rufaa. Ukumbuke boys 2 men walikuwa maswahiba hivyo Edo. anafahamu mazingira yaliyowapeleka jela
 
Ukisikiliza wimbo wa bushoke wa msela jela utagundua kwamba familia ya babu seya imedondoshewa jumba bovu,wamefungwa kwa visa vya mapenzi,babu seya alikuwa anamega Demu wa Mkubwa wa serikali...."nimetoka kumcheck msela jela kaniambia ukweli wa kesi yake".
 
Duh! Ikiwa kweli, basi waikimbie nchi...
 
Lowasa hana uwezo huo wa kutoa mtu aliebaka na kulawiti! Hakuna rais mwenye mamlaka hayo kisheria. Vinginevyo kitendo hicho kifutwe kuwa kosa na wote waliomagerezani watolewe na si babu seya.

Babu seya ni mdudu gani hadi rais avunje sheria za nchi? Ni watanzania wangapi wanaozea hela tena kwa makosa madogo kuliko babu seya na hawajasamehewa?
 
Muulizeni mabere marando na Ananilea nkya si mko nao huko ukawa ndio wanajua A-Z ya alichokifanya babu seya kwa vile vitoto,naanza kuamini kuna watu wa kitengo kwenye timu ya kampeni ya lowassa kwa kazi maalum kuhakikisha wanmvuruga kwa kumuingiza mkenge.Lowassa na ukawa watazipa maelezo gani familia za wale watoto ambao kwa sasa ni wasichana wanaoishi katika maambukizi ya ukimwi?

Marando ndio alikua akiwatetea kina Nguza kama wakili wao na Ananilea Nkya ndio alipambana vikali kuhakikisha sheria inafuata mkondo wake bila kujali umaarufu mbakaji watoto nguza na wanae.Nilibahatika kuona mwenendo mzima wa kesi kwa msaada wa ofisi ya marando,ukiisoma ile kesi utaona kina nguza ni watu wakatili sana pengine hata adhabu waliyopewa ni ndogo hasa kama una mtoto wa kike ndio utaumia zaidi.
 
Nimestuka Lowassa kudharau utawala wa sheria. Babuseya alikata rufaa mahakama kuu ya Tanzania na kushindwa kwa kosa la ubakaji na udhalilishaji watoto.

Je Lowassa hautambui mhimili wa mahakama? Je utaachia wafungwa wote?Lowassa ataleta mgongano wa kidola.

Chanzo: Raia Tanzania
Mbona kama umekurupuka? Wewe unaona kichwa cha habari kwenye gazeti halafu unaenda kukitungia stori bila kusoma gazeti lenyewe kwa undani.
 
Nimestuka Lowassa kudharau utawala wa sheria. Babuseya alikata rufaa mahakama kuu ya Tanzania na kushindwa kwa kosa la ubakaji na udhalilishaji watoto.

Je Lowassa hautambui mhimili wa mahakama? Je utaachia wafungwa wote?

Lowassa ataleta mgongano wa kidola.

Chanzo: Raia Tanzania

tatizo ni kwamba za kwake hazimtoshi anaongozwa na akili za wengine wakimuelekeza aonge nini na wasipomuelekeza anachemka.
 
Wewe hujui kilichompeleka mahakamani kuwa ni kwasababu alichukuwa mrembo wa wakuu? Lowassa anajua siri zote na sababu kwa hiyo haongei tu.

Lowassa anajua mabo mengi hata vituo vya mafuta vinavyojengwa na watoto wadogo anajua nini kinaendelea ndio maana hawataki aingie wakidhani atawashughulikia

utaelewa somo siku moja
 
kwa wapenzi wa muziki tunatamani siku moja babu seya atoke ili tutoke na tucheze wote kwa mapenzi na mabusu motomoto. hakika wimbo huu umetumika kutumbuiza kwenye harusi nyingi na sherehe nyingi sana. mgombea urais wa ukawa ametutoa machozi ya raha pale alipotuahidi kwamba ipo siku atamtoa babu seya hivyo zile raha zitarudi tena uraiani. asante sana kwa hili. sasa kwa upande wa pili kuna wale ambao mpaka Mungu atawachukua hawaamini kama kweli gavana daudi bilali amefariki kutokana na mazingaombwe yaliyotokea kuhusiana na mazingira ya utata ya kifo na mazishi yake. hivyo basi kwakuwa arusha umetuambia utamtoa babu seya, je kesho mwanza utatuambia utamrudisha gavana daudi bilali ili kama kweli yupo hai taifa bado linamuhitaji katika michango yake ya kujenga uchumi wa nchi? wanamwanza tunatamani kesho useme neno moja tu kuhusu daudi bilali na kura zetu uchukue zoooooooteee.....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom