Nini cha ajabu hapo !!?? Kuna boda boda milioni 1 laki 1 na 20 kila boda boda mmoja akitoa hisa sh 10.000 .x milioni 1 tuu ni bilioni kumi.ni mtaji tosha wa kuanzisha benki 5 mpya kwa kiwango cha sasa hivi cha bilioni 2 .mtaji wa kuanzisha benki. Unashangaa nini huo ndio uongozi unatakiwa wa kuonesha njia.Lowasa raisi wetu. Na pili zingatia elfu kumi nipato la siku moja tuu.kwa boda boda.ataa kama ni dereva tuu atamudu .Akihutubia wananchi wa mjini Kiomboi katika Jimbo la Iramba Magharibi, Lowassa aliahidi kuwa akichaguliwa ataanzisha benki ya boda boda. Wakati ukiyasikiliza haya na wewe tumia akili zako.
Lowasa janga sugu la wazawa?Kumbe bora azungumze dakika mbili tu
akizungumza mda mrefu ndo kama haya sasa
what next?benki ya mama lishe?
Hivi bodaboda ni ajira?au ni tatizo la miundo mbinu mibovu?
Kila nchi hasa zilizoendelea zina bodaboda?
yeye akienda Ujerumani kutibiwa huwa anakuta bodaboda huko?
Huyu jamaa akili kweli zimo?
Za kuambiwa changanya na zako.
Akihutubia wananchi wa mjini Kiomboi katika Jimbo la Iramba Magharibi, Lowassa aliahidi kuwa akichaguliwa ataanzisha benki ya boda boda. Wakati ukiyasikiliza haya na wewe tumia akili zako.
Yesuuuuuu komnyo ya kwanswa Lowassa ngikiyo? Banki ya bodaboda? Halafulee? Ngienda wapi kudanganya mbatu? Yesuuuuuu ngikiyo mabesa? Acha ujingaaaa Lowassa njoo huku moshi unjwe kitochi cha mbege, siasa ni za magufuli!! Mburaaa, huku huku migombani ukiongelea ukawa Yesuuuuuu unamwagiwa mbege usoni..... #hapakazitu babangu
#mabadiliko peleka mamlaka husika ya mabadiliko ya tabia ya nchi.
Njoo unywe kitochi wewe achana na siasa za nyani!!
#hapakazitu
Asisahau naya mama ntilie pamoja na wamachinga.
Kumbe bora azungumze dakika mbili tu
akizungumza mda mrefu ndo kama haya sasa
what next?benki ya mama lishe?
Hivi bodaboda ni ajira?au ni tatizo la miundo mbinu mibovu?
Kila nchi hasa zilizoendelea zina bodaboda?
yeye akienda Ujerumani kutibiwa huwa anakuta bodaboda huko?
Mliisha wahi kujiuliza juu ya tamko la CCM kuwa itatoa Million 50 kila kijiji je kuna impact yeyote kwa maendeleo ya Mtanzania kwa kutoa hizo fedha kwenye kijiji? CCM iliweza kutamka kuwa itaanzisha Bank ya Wakulima, Bank ya wanawake kuna tofauti gani na kuanzisha Bank ya Boda boda? kama Mkapa na Mke wake wameweza kuanzisha Bank je kwa vijana wengi ambao ni boda boda hawawezi kukusanywa kwa pamoja na kuongozwa chini ya usimamizi wa serikali na wao kuweza kuanzisha Bank yao?
Mnapo pinga kitu ni vema kabla mkatafakari kwa kina pia kupitia matamko ya nyuma yaliyowahi kutamkwa na hao viongozi wenu mnaowaabudu kuliko hiki mnachokifanya mnajishushia heshima.

Ðог показал мне пÑÑÑ, поÑÐ¾Ð¼Ñ ÑÑо дÑÑвол пÑÑаеÑÑÑ ÑломаÑÑ Ð¼ÐµÐ½Ñ, Ñ Ð¼ÐµÐ½Ñ ÐµÑÑÑ Ð¼Ð½Ð¾Ð³Ð¾ поÑÑебноÑÑей Ð´Ð»Ñ Ð²ÑполнениÑ, пожалÑйÑÑа доÑогой Ðог ÑÑ Ð¼Ð¾Ð¹ ÑобÑÑвеннÑй ÑпоÑоб довеÑÑÑÑ, hahaha unfortunately you don't know what you even wrote, ur just fool to ur self, now if you really understand, now get my answers, Ave replied you!! Better you think I don't know what shit you wrote? Por favor hombres!!! #hapakazitu.пÑжÑоÑвд Ñ Ð´ ÑипÑи ÑÑÑ Ñл гÑнÑÑ Ñ Ð¿ÑÑ ÑÑÑнÑкиеиÑÑ Ð½ÑÑÐ³Ð´Ñ Ð°ÑÑ Ñ Ñ Ñ Ð¿ÑоÑоÑвд
гÑз ÐµÐ¸Ñ Ð¶Ñ Ð¸ Ñ Ð´ оÑÑз ÑÑ Ð´Ð²Ñ Ñнеивд гÑÑÑ ÐµÑз еÑÑ ÑÑÑ Ð³ÑеÑеиÑд нÑÑÐ³Ð´Ñ Ð°ÑÑ Ñ Ñ Ñ Ð¿ÑжÑоÑвдл
Nini cha ajabu hapo !!?? Kuna boda boda milioni 1 laki 1 na 20 kila boda boda mmoja akitoa hisa sh 10.000 .x milioni 1 tuu ni bilioni kumi.ni mtaji tosha wa kuanzisha benki 5 mpya kwa kiwango cha sasa hivi cha bilioni 2 .mtaji wa kuanzisha benki. Unashangaa nini huo ndio uongozi unatakiwa wa kuonesha njia.Lowasa raisi wetu. Na pili zingatia elfu kumi nipato la siku moja tuu.kwa boda boda.ataa kama ni dereva tuu atamudu .