Lowassa: Nipeni bakora niwachape mafisadi!

Lowassa: Nipeni bakora niwachape mafisadi!

aaaaaaaAaaaaaha ha ha ha ha ha..........asee lowasa nimemkubali ha ha ha ha....
 
Magufuli kishasema fisadi hachapwi anafungwa mara moja na mahakama ya mafisadi
 
Hii habari imesomwa magazeti ya leo, nimeisikia katika gazeti la Nipashe. Maoni yako tafadhali. Tumpe tusimpe hiyo bakora?

Tungeomba Tumchape Yeye Kwanza Kwani UMASIKINI Huu TULIONAO Sasa Watanzania 80% Umesababishwa Na UFISADI Wake Yeye Na Mwenzie Sumaye.
 
Watu hawajielewi

Yaani magufuli anasema

Ataleta mahakama ya kushughulikia mafisadi

Wakati aliyemweka kwenye top 3

Ndiye fisadi

Ha ha ha ha

Aanze na huyo kwanza
 
Mwisho wa mafisadi kama wale wa Lake Oil, Home Shoping Centre, Escrow umefika.... Oktoba wanakula mboko
 

Attachments

  • 1442382935916.jpg
    1442382935916.jpg
    56.4 KB · Views: 659
Tumpe kwa sana tu! CCM ndio mafisadi! Mfumo wa CCM ndio ufisadi wenyewe!
 
Tumpe kwa sana tu! CCM ndio mafisadi! Mfumo wa CCM ndio ufisadi wenyewe!

kwanini alichelewa sana kuzungumzia suala la ufisadi? Ataje pia ni mafisadi wepi ataanza nao. Je ataanza na wa richmond?
 
Hivi mtu unaweza ukajichapa na pakauma? SIDHANI! Acha wachapwe na Magufuli.
 
Back
Top Bottom