Domy
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 4,700
- 1,090
Habari wadau!
Maneno hayo nimeyasikia asubuhi katika kipindi cha tuongee magazeti RFA,
Maneno haya yanaashiria nini? Je Lowassa akikatwa nini kitatokea ndani ya CCM?
Karibuni tujadili kauli hii iliyotolewa na The don simba wa Yuda wa CCM Edward Lowassa.