Lowassa ni pasua kichwa

Mtoa post kavurugwa. Unawezaje kuwa na akili halafu ukasema watu elfu 11 wa shule za msingi ni kukubalika
 
Dear Susan "Bashe" Lema Wadhamini wanatakiwa ni 450 kutoka mikoa 15 hizo nyingine mbwembwe tu...na kama mtu unakubalika huna haja ya kuflaunt na kuplay PR Pranks..na mwisho wa siku mgombea wenu hafai na mtakatwa tu.
Na je hizo fomu zenyewe za CCM hazina mahali zinapokomea ili mtafuta wadhamini asiwatwishe mzingo usiohitajika wahakiki? Au anatoa photocopy? Mimi magambas huwa nashindwa kuyaelewa!
Hata hivyo Bwana Lowassa anazidi kututhibitishia kiwango chake cha juu cha usanii. HAFAI kabisa kuwa Rais haswa katika kipindi hiki ambako taifa linahitaji kujihakiki na kuanza safari ya uhakika upya. Angefaa sana kuwa rais kipindi alichomwachia rafiki yake. Wamlete huku site aje apate kipigo cha wana wa UKAWA.
 
Akifika mikoani.wafuasi wanadanganywa kuwa watapewa pesa na kumbiwa waache kadi zao. na hivyo zinakusanywa na kudanganya umma kuwa mgombea anaungwa mkono na wanachama wengi.!!!!!
 
Ni masharti gani ya kumdhamini mgombea urais wa ccm?
 
Walimtuhumu kwa makosa wasiyokuwa na uhhakika kama ilivyo ESCROW,wakaamua kujirusha kumbe wanajichafua wenyewe kimaadili sasa leo wanaumbuka mmoja baada ya mwingine.
Mh.Lowasa ndio kiongozi pekee asiyekuwa na mchepuko na ndio mwenye familia iliyotulia.
 

Mkuu AFYA yake mgogoro akipata na mchepuko unampenda kweli au unataka MKE wake awe mjane.
 

Mkuu, kwani hujuagi tuu? Anazuia wengine wasipate wadhamini ionekane yeye tu ndo anapendwa. Majanga!
 
Leo Waziri mkuu wa zamani Mhe. Edward Lowassa alikuwa mkoani Kigoma katika mbio za urais akafanikiwa kupata zaidi ya wadhamini 11,000. Jana alipokuwa mkoani Tabora alipata wadhamini zaidi ya 13,000. Hili ni kubaliko la kutosha ndani ya jamii.

Ninakumbuka Hayati Mwalim JK Nyerere aliwahi kusema haya kumhusu huyu mtu...
.

Ninashangaa wanaosema anakubalika.
 

Mambo ya ufisadi nenda kawaambie wake zako lakini kaa ukijua Lowasa ndio raia ajae wa Tanzania
 

Akili yako haina tofauti na Kitimoto
 
Jamani mnaompenda Lowassa c mmeshauriwa na Makongoro mkanywe nae chai

Mmeshaenda? au still mnambwelambwela tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…