Kwa taarifa nilizozipata jana ni kuwa Lowassa kwa sasa amebakiwa na cheo cha mwenyekiti wa bodi ya shule huko Monduli katika vyeo vyote aliwahi kuwa navyo.
Huko chadema hana cheo chochote ila anatoa matamko yanayopaswa kutolewa na viongozi wa chama hicho. Utumishi wa umma ulimshinda, siasa imemshinda, afanye tu biashara zake na Rostam asizidi kujipotezea muda na siasa.
Chadema na team zake zote kama team Lowassa n.k wanamchuna tu wamemfanya shamba la bibi tangu wanazunguka nae ndipo anazidi kupotea.
Fedha alizo nazo ni bora akaanzisha kitu cha maana hata taasisi kama ukumbusho wake ama akasaidia masikini kama TB Joshua atapata Dhawabu na atasamehewa na Mungu.
Mwenye maumivu ni yule ambaye hajatulia maongezi yake ni umbea umbea tu bali aliyeko kimya hana maumivu upinzani ulishakubaliana na hali ya kuibiwa kura vile hakuna pa kujitetea ndo maana mawazo yote sasa hivi ni katiba mpya na 2020 basi.mwenye maumivu ni yupi kama si yeye na ninyi mliokosa?
Always CCM will dance makirikiri played by Lowasa.Kwa taarifa nilizozipata jana ni kuwa Lowassa kwa sasa amebakiwa na cheo cha mwenyekiti wa bodi ya shule huko Monduli katika vyeo vyote aliwahi kuwa navyo.
Huko chadema hana cheo chochote ila anatoa matamko yanayopaswa kutolewa na viongozi wa chama hicho. Utumishi wa umma ulimshinda, siasa imemshinda, afanye tu biashara zake na Rostam asizidi kujipotezea muda na siasa.
Chadema na team zake zote kama team Lowassa n.k wanamchuna tu wamemfanya shamba la bibi tangu wanazunguka nae ndipo anazidi kupotea.
Fedha alizo nazo ni bora akaanzisha kitu cha maana hata taasisi kama ukumbusho wake ama akasaidia masikini kama TB Joshua atapata Dhawabu na atasamehewa na Mungu.
Hata uwaziri mkuu "mstaafu" nacho hana???
Sasa wewe unaanzisha mjadala kumtaja yeye halafu unasema hasikiki? Kweli kuna watu na viatu! Hebu agalia tuu hapa JF ni mwanasiasa gani anajadiliwa sana kuliko mwingine halafu ndio ujipime kwenye huo upuuzi wako wa kusikikakwani sasahv anasikika tena? Chale kifo cha mende!
Kisheria alikua mstaafu kisiasa alikua aliejiuzulu.Na ndio maana mstaafu nikaiweka "mstaafu".alistaafu uwaziri mkuu au alijiuzulu?
Mwenye maumivu ni yule ambaye hajatulia maongezi yake ni umbea umbea tu bali aliyeko kimya hana maumivu upinzani ulishakubaliana na hali ya kuibiwa kura vile hakuna pa kujitetea ndo maana mawazo yote sasa hivi ni katiba mpya na 2020 basi.
mstaafu kwa kashfa?Kisheria alikua mstaafu kisiasa alikua aliejiuzulu.Na ndio maana mstaafu nikaiweka "mstaafu".
sasahivi mbona twapishana nae tu kawaida kama raia wengine wala hakuna mwenye taimu nae?Sasa wewe unaanzisha mjadala kumtaja yeye halafu unasema hasikiki? Kweli kuna watu na viatu! Hebu agalia tuu hapa JF ni mwanasiasa gani anajadiliwa sana kuliko mwingine halafu ndio ujipime kwenye huo upuuzi wako wa kusikika
Kama unatafuta mme mwenye cheo mimi nnachoKwa taarifa nilizozipata jana ni kuwa Lowassa kwa sasa amebakiwa na cheo cha mwenyekiti wa bodi ya shule huko Monduli katika vyeo vyote aliwahi kuwa navyo.
Huko chadema hana cheo chochote ila anatoa matamko yanayopaswa kutolewa na viongozi wa chama hicho. Utumishi wa umma ulimshinda, siasa imemshinda, afanye tu biashara zake na Rostam asizidi kujipotezea muda na siasa.
Chadema na team zake zote kama team Lowassa n.k wanamchuna tu wamemfanya shamba la bibi tangu wanazunguka nae ndipo anazidi kupotea.
Fedha alizo nazo ni bora akaanzisha kitu cha maana hata taasisi kama ukumbusho wake ama akasaidia masikini kama TB Joshua atapata Dhawabu na atasamehewa na Mungu.
Mta ngatwaa sana safari hii... Amuwaoni wengine ni yy tu... Ww na jina lako la bandia una nn kujilinganisha nae... Au miemko tu..et mada za kitoto. Mwambieni ajitathmini. Viongozi muhimu na maarufu wana heshima ya majina yao kuwa na taasis mbalimbali kama Mkapa, Jakaya Kikwete, yeye atabaki na drycleaner yake kama mbowe na danguro lake.
Wewe ukitembea barabarani una kwenda hovyo kama mbwa koko asiye na uelekeo. Yeye ana mlinzi wa serikali anayelipwa kwa kodi yako, Mpishi na Gari na dereva vyote vya serikali. Pamoja na hayo anavuta mshiko 80% ya ule anaovuta Majaliwa serikalini, upon hapo?alistaafu uwaziri mkuu au alijiuzulu?
Kwa taarifa nilizozipata jana ni kuwa Lowassa kwa sasa amebakiwa na cheo cha mwenyekiti wa bodi ya shule huko Monduli katika vyeo vyote aliwahi kuwa navyo.
Huko chadema hana cheo chochote ila anatoa matamko yanayopaswa kutolewa na viongozi wa chama hicho. Utumishi wa umma ulimshinda, siasa imemshinda, afanye tu biashara zake na Rostam asizidi kujipotezea muda na siasa.
Chadema na team zake zote kama team Lowassa n.k wanamchuna tu wamemfanya shamba la bibi tangu wanazunguka nae ndipo anazidi kupotea.
Fedha alizo nazo ni bora akaanzisha kitu cha maana hata taasisi kama ukumbusho wake ama akasaidia masikini kama TB Joshua atapata Dhawabu na atasamehewa na Mungu.
Dah.. kumbe kuna wengine hawakupata mgao! 😱Hoja yake ni kwamba Lowasa ni nani ndani ya CHADEMA mpaka atoe maamuzi mazito kama hayo?