Hoja yake ni kwamba Lowasa ni nani ndani ya CHADEMA mpaka atoe maamuzi mazito kama hayo?Acha uzushi hajasema watakaokwenda kinyume cha maagizo yake, bali watakaoshindwa kuwatumikia wananchi ipasavyo na siyo yeye ndiye atakayewafukuza uanachama bali ni chama!! Kweli Laigwanani ndiyo habari ya mjini kila akifanyacho lazima wana Lumumba washikwe mshawasha!
leta quote hapa inayoonyesha hayo maneno ya Lowasa otherwise umehadithiwa hujui kinachoendelea.LOWASA KUWAFUKUZA WATAKAOKWENDA KINYUME NA MAAGIZO YAKE
Lowasa amesema kuwa watakao kwenda kinyume na maagizo yake wataondolewa kwenye nafasi zao,
Naomba tuulizane wananchi maswali machache na tujadiliane,
1. Lowassa ni nani huko chadema maana najua kuwa yeye ni mwanachama mchanga kabisa na wa kawaida ndani ya chama.
2. Nani kampa ruhusa ya kuitisha mkutano ule? Na aliitisha kama nani?
3. Maagizo aliyotoa kwa MaMeya kayatoa kama nani?
Kwa mara ya kwanza Duniani Chadema kinakuwa chama cha kwanza kwa mwanachama wa kawaida kuitisha mkutano na kuwakaripia na kutoa maagizo kwa Viongozi.
Mbowe anapaswa kumuuliza Lowasa ni nani huko Chadema na majukumu yake ni yapi kwa sasa?
Mkuu, hii imekaa vibaya, unadhani James Lembeli au Esther Bulaya wanaweza kuita na kutoa agizo?Acha uzushi hajasema watakaokwenda kinyume cha maagizo yake, bali watakaoshindwa kuwatumikia wananchi ipasavyo na siyo yeye ndiye atakayewafukuza uanachama bali ni chama!! Kweli Laigwanani ndiyo habari ya mjini kila akifanyacho lazima wana Lumumba washikwe mshawasha!
LOWASA KUWAFUKUZA WATAKAOKWENDA KINYUME NA MAAGIZO YAKE
Lowasa amesema kuwa watakao kwenda kinyume na maagizo yake wataondolewa kwenye nafasi zao,
Naomba tuulizane wananchi maswali machache na tujadiliane,
1. Lowassa ni nani huko chadema maana najua kuwa yeye ni mwanachama mchanga kabisa na wa kawaida ndani ya chama.
2. Nani kampa ruhusa ya kuitisha mkutano ule? Na aliitisha kama nani?
3. Maagizo aliyotoa kwa MaMeya kayatoa kama nani?
Kwa mara ya kwanza Duniani Chadema kinakuwa chama cha kwanza kwa mwanachama wa kawaida kuitisha mkutano na kuwakaripia na kutoa maagizo kwa Viongozi.
Mbowe anapaswa kumuuliza Lowasa ni nani huko Chadema na majukumu yake ni yapi kwa sasa?
Ili tamko liwe agizo lina sifa zake. Kwanza mtoa tamko ni lazima awe na madaraka ya kikatiba kwa wale anaowapa agizo, pili wale wanaopewa agizo ni lazima wawe chini ya huyo anayewapa agizo kisheria. Kama Muumini wa dini ya Kiislamu akisema hapa msikitini hatutaruhusu kufanyika biashara ya kuuza Nyama ya nguruwe, watu waseme kasema hivyo kwa kuwa ana kanzu mpya! Huo ndiyo ujuha!!Mkuu, hii imekaa vibaya, unadhani James Lembeli au Esther Bulaya wanaweza kuita na kutoa agizo?
LOWASSA KUWAFUKUZA WATAKAOKWENDA KINYUME NA MAAGIZO YAKE
Lowassa amesema kuwa watakao kwenda kinyume na maagizo yake wataondolewa kwenye nafasi zao,
Naomba tuulizane wananchi maswali machache na tujadiliane,
1. Lowassa ni nani huko CHADEMA maana najua kuwa yeye ni mwanachama mchanga kabisa na wa kawaida ndani ya chama.
2. Nani kampa ruhusa ya kuitisha mkutano ule? Na aliitisha kama nani?
3. Maagizo aliyotoa kwa Ma Meya kayatoa kama nani?
Kwa mara ya kwanza Duniani CHADEMA kinakuwa chama cha kwanza kwa mwanachama wa kawaida kuitisha mkutano na kuwakaripia na kutoa maagizo kwa Viongozi.
Mbowe anapaswa kumuuliza Lowassa ni nani huko CHADEMA na majukumu yake ni yapi kwasasa?
Weka hoja mkuu tukuelewe,bado hujaeleweka.Taasisi au system yoyote iliyo imara na inayojitambua huwa inakuwa makini na kuona ni nani anaongea nini na kama nani illi kuondoa confusion inayoweza kujitokeza kwenye matamko,na ndiyo msingi wa kuwa na msemaji wa taasisi au chama sambamba na viongozi kwa tittles zao,it is a bit odd kwa mwanachama asiye na tittle yoyote ya kueleweka kutoa tamko kwenye public,kwanza kuna hatari tamko (hata kama ni mashuhuri)kwanza kuna hatari ya tamko lenyewe likakosa punch stahiki hata kama ni nyeti.Acha uzushi hajasema watakaokwenda kinyume cha maagizo yake, bali watakaoshindwa kuwatumikia wananchi ipasavyo na siyo yeye ndiye atakayewafukuza uanachama bali ni chama!! Kweli Laigwanani ndiyo habari ya mjini kila akifanyacho lazima wana Lumumba washikwe mshawasha!
NI MNUNUZI WA NAFASI YA UGOMBEA MWAKA JANA ASIYE NA CHEO CHOCHOTE CHADEMANi Godfather wa chadema.
Lowassa atawatesa sana lumumba mwaka huu lazima mzae mapacha tu maana hicho kuchefuchefu kwa Lowassa si kawaida