Uwezekano ni mkubwa sana mkuu! We unafikiria kwanini the Scotland Yard through SCD6 Economic and Specialist Crime Proceed of Corruption Unit wana-track transactions zinazohusiana na hiyo Intergrated Property Investment Ltd ambaye ni partner wa Barare Ltd ambaye ni Msomali anayeishi UK?Ohh! Ngoja tutoke usingizini, Kumbe wasomali wamejipenyeza kupitia migongo ya waheshimiwa !!!! na kwamba Mhe. EL anatumiwa na wasomali kusafisha hela chafu za Kisomali ????? Kazi kweli kweli.
Ngoja niendeleee kusoma
Mkuu jaribu kuwa specific unaposema mashamba, maana wengine tutadhani ya ubuyu sema ukienda mashamba ya chai, kahawa, sukari na tumbaku unamkuta Lowassa akimiliki maelfu ya ekari na ni mfanyakazi wa serikali kwa maisha yake yoote!Hii kampuni ya Integrated nasikia imeingia ubia na Nyumba ya Sanaa na kampuni kuendeleza pale ilipokuwa Nyumba ya Sanaa karibu na Hoteli ya Movenpick. Upatikanaji wa eneo lile umezusha maswali mengi kuliko majibu. Wafanyakazi wanalalamika jinsi utaratibu wa kibabe ulivyotumika kupata eneo lile. Humu tunaambiwa Lowassa yumo...
Ukienda ktk mashamba sehemu mbali mbali Tanzania unaambiwa Lowassa yumo, hivi Lowassa ana mshipa wa aina gani wa tamaa? Sasa nakumbuka maneno ya marehemu Baba wa Taifa, Mwl. Julius Nyerere, kuwa LOWASSA hatufai kuwa kiongozi, kwani ana tamaa sana ya mali na ni mlafi wa uongozi.
Sasa hiyo part II ndio kiboko, sasa Lowassa na mkewe walifanya biashara gani na hao Wasomali hadi wawadai milioni 450/= sasa hapo ndio mujue kuna kazi amewafanyia na hayo ndio malipo, na TAKUKURU waanzie hapa