Wenye akili finyu ndiyo uweza kuona km hayo ni maswali?Sikatai, Lowassa huenda wakati fulani alikuwa na matatizo kama wengi wetu wanavyodai.
Lakini hebu tuache unafki, maana msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Kama watu wenye akili timamu hebu tujiulize swali hili dogo, je ni kweli anayeitesa nchi hii ni Lowassa?!
Je, huyu mtu hayupo madarakani mwaka wa ngapi sasa?
Mtoa mada rudi ufafanue haya mateso ya Lowassa kwa nchi hii ni ya aina gani?
Naona kama kuna jambo limejificha kumhusu huyu jamaa ambalo wale wanaomsemasema wanalijua!
Na mkiendelea hivi mtatushtua wengi ambao tulikuwa tukichukulia poa hapo awali.
Nitaandika kwa kifupi sana.
Swali ni hili... ajenda kubwa ya upinzani ni ipi?? Jibu ni " kupambana na udikteta chini ya John Magufuli" rais wa tanzania amekuwa dikteta ambaye anaziba watu midomo. Naendelea kujiuliza huyo dikteta ni yupi ambaye anawaacha watu wamuite dikteta... ni dikteta yupi huyo ambae ukivunja sheria anakupeleka mahakaman na bado unashinda,unapewa rufaa..yaan dikteta anakuacha utafute haki Zako katika mahakama (chombo kinachosimamia haki)?? Dikteta anaziba watu midomo au anakuzima hata hiyo sauti hutoi??
Lakini bado najiuliza hivi wananchi issue ya udikteta unaclick kichwani kwa mtu ambaye ameanza kwa kufungua mahakama ya mafisadi? Mtu ambaye anarudisha nidhamu katika offisi za uma? Mtu anaepigania kufanya kazi? Kiongozi ambaye anasafisha mifumo mibovu kama elimu??
Wapinzani chonde chonde yale maisha ya kusubiri udhaifu wa serikali ndiyo mtengeneze ajenda pengine ndiyo wakati sahihi wa kuyaacha.. kila ajenda mnayopigia kelele Magufuli anaifanyia kazi.
Mlikuwa na nguvu kabla LOWASSA hajaja upinzani.. kwa zile kura alizosema mwenyekiti wa chadema mh Mbowe kamati kuuu nanukuu " makamanda kutokana na muda hatutapiga kura za siri.. wanaokubali lowassa simameni mmkunje ngumi hivi"... najiuliza katika mazingira hayo ungeweza kumkataa?? Lakini Lowassa yupo kamati kuu na vikao vyote vya juu anashiriki.. kwa katiba ipi?? Mwenyekiti wa chadema tukisema anatumia mabavu kuongoza chama kama ilivyowahi kulalamikiwa na watu kama Zitto Kabwe nitakosea???
Ukweli ni huu ajenda ya Upinzani ilikuwa ufisadi. Sasa hivi sio ajenda yao tena ndiyo maana ile list of shame wameifuta kwenye website yao kwa sababu ndani mwao kuna furushi la kinyesi huwezi kulibeba bila kukuchuruzikia... narudia kumchukua Lowassa was a wrong move . .
Hivi hiyo september 1.. tu assume Magufuli akawaruhusu mufanye mikutano na maandamano ajenda itakuwa ipi??? Udikteta?? Yaani upo kwenye mikutano na unahojiwa kabisa na tv unasema hii nchi rais anaziba watu midomo... nasononeka upinzani unakufa haraka tofauti na nlivyofikiri.
Lowassa ni mwanachama na katiba ya chadema hipo wewe ni mgonjwa wa akiri na HUNA ELIMU YA JUU
swissme
wamshitaki yambumburuke na mengine yaliyojificha? Never wataishia tu kubwabwaja kwamba Lowassa fisadi ila mahakamani hafikishwi.Huyu Lowassa naomba mumshitaki kwa ufisadi maana imekuwa kero.
Ni upumbavu mtu kuwa fisadi na ushahidi mnao mnaishia kulalamika.
Mi sina chama but naona kila mwanasiasa akitafuta umaarufu anapita kwa kick za lowasa.
Mfungeni kama hamna ushidi kaeni kimya
wewe ni mtoto wa mbowe?mybeLowasa ameipasua Chadema nusu. Wanachama wengi wako Chadema Asili na waliokubali kubadili gia angani wako Chadema Mbowe na Lowasa wao. Kwa sasa hawana agenda baada ya ile mafisadi kutekwa na rais JPM.
Mnapofanya siasa, angalia zaidi mtanzania wa kawaida, je kwake udikteta ni suala la msingi kwake? (kama upo) maana mimi ukiniita hayo majina nakuonyesha rangi halisi ya udikteta.Tatizo division 5 mtu hajui hata maana dikteta unapozungumzia hiyo kitu ni utawala usiofuata sheria (katiba) ndio maana wanaoona tunapoelekea tunajaribu kuwashika mikono wanaojaribu kuanza kuchezea kwa mfano katiba inasema kila mtu anahaki ya kukusanyika na kutoa mawazo lakini kiongozi anasema hakuna mikutano yaani mikusanyiko sasa hapa katiba imeanza kuchezewa
nasononeka upinzani unakufa haraka tofauti na nlivyofikiri.
Naunga mkono hojaTunataka mumfunge huyo Lowasa , maana sasa hamtuletei maendeleo kutwa kumsingizia Lowasa, naona mkishamfunga barabara sita juu na chini zitajaa nchini , umaskini utakwisha, hospitali zote huduma zitakuwa bwerereee , walimu na watumishi wengine wa umma wataishi kwa raha baada ya haki zao kupatikana , wakulima watalima Kwa faida, Vijana watajiajili na kuajiliwa , yaani Tz itakuwa kama Dubai !
Huyu Lowasa na afungwe tu !!
Hujaelewa, Sio dikteta ila dikteta uchwaraNitaandika kwa kifupi sana.
Swali ni hili... ajenda kubwa ya upinzani ni ipi?? Jibu ni " kupambana na udikteta chini ya John Magufuli" rais wa tanzania amekuwa dikteta ambaye anaziba watu midomo. Naendelea kujiuliza huyo dikteta ni yupi ambaye anawaacha watu wamuite dikteta... ni dikteta yupi huyo ambae ukivunja sheria anakupeleka mahakaman na bado unashinda,unapewa rufaa..yaan dikteta anakuacha utafute haki Zako katika mahakama (chombo kinachosimamia haki)?? Dikteta anaziba watu midomo au anakuzima hata hiyo sauti hutoi??
Lakini bado najiuliza hivi wananchi issue ya udikteta unaclick kichwani kwa mtu ambaye ameanza kwa kufungua mahakama ya mafisadi? Mtu ambaye anarudisha nidhamu katika offisi za uma? Mtu anaepigania kufanya kazi? Kiongozi ambaye anasafisha mifumo mibovu kama elimu??
Wapinzani chonde chonde yale maisha ya kusubiri udhaifu wa serikali ndiyo mtengeneze ajenda pengine ndiyo wakati sahihi wa kuyaacha.. kila ajenda mnayopigia kelele Magufuli anaifanyia kazi.
Mlikuwa na nguvu kabla LOWASSA hajaja upinzani.. kwa zile kura alizosema mwenyekiti wa chadema mh Mbowe kamati kuuu nanukuu " makamanda kutokana na muda hatutapiga kura za siri.. wanaokubali lowassa simameni mmkunje ngumi hivi"... najiuliza katika mazingira hayo ungeweza kumkataa?? Lakini Lowassa yupo kamati kuu na vikao vyote vya juu anashiriki.. kwa katiba ipi?? Mwenyekiti wa chadema tukisema anatumia mabavu kuongoza chama kama ilivyowahi kulalamikiwa na watu kama Zitto Kabwe nitakosea???
Ukweli ni huu ajenda ya Upinzani ilikuwa ufisadi. Sasa hivi sio ajenda yao tena ndiyo maana ile list of shame wameifuta kwenye website yao ... narudia kumchukua Lowassa was a wrong move . .