Eberi M. Manya
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 743
- 280
Kwanza anajitia aibu mbele ya wananchi. Kinapotoka kichwa Magufuli bayana na kwa kirefu kinachoongea sera na mambo ya kupambana na ufisadi halafu kinakuja kitu cha ajabu ambacho hata kikiongea hakionyeshi ajenda yoyote yenye mwelekeo, wananchi wanakudharau. Kwa sababu watalinganisha kati ya yule aliyetoka juzi kwa sababu bado wana kumbukumbu na wewe uliyekuja leo. Wanakukuta ni zero wanaanza kukudharau hapo hapo.Ndugu wanabodi, leo hapa Moshi mjini kuna ujio wa Edward Ngoyai Lowassa kwa ajili ya kampeni akifuatana na kada maarufu na gwiji la CCM aliyechepuka hivi karibuni ndani ya CCM na kuunga mkono mabadiliko.
Mkutano huo wa Lowassa utafanyika katika UWANJA WA MASHUJA hapa Moshi mjini kuanzia saa nane kamili mchana.
Tangu asubuhi saa mbili kumekuwa na shamrashamra kubwa sana hapa Moshi mjini na viunga vyake. Hamasa ni kubwa sana, watu walianza kujaa uwanjani kuanzia saa mbili asubuhi na mpaka muda huu uwanja umeshatapika. Pia polisi (FFU) wametanda kila kona ya mji huo kwa kuangalia usalama zaidi.
Wananchi wote mliokaribu mnakaribishwa. Hii ni nguvu ya mabadiliko ndani ya Moshi na kwa Tanzania kwa ujumla. HAKUNA WA KUZUIA MABADILIKO....Mabadiliko ni lazima...!
Sijui Yahaya atajificha wapi
Ndugu wanabodi, leo hapa Moshi mjini kuna ujio wa Edward Ngoyai Lowassa kwa ajili ya kampeni akifuatana na kada maarufu na gwiji la CCM aliyechepuka hivi karibuni ndani ya CCM na kuunga mkono mabadiliko.
Mkutano huo wa Lowassa utafanyika katika UWANJA WA MASHUJA hapa Moshi mjini kuanzia saa nane kamili mchana.
Tangu asubuhi saa mbili kumekuwa na shamrashamra kubwa sana hapa Moshi mjini na viunga vyake. Hamasa ni kubwa sana, watu walianza kujaa uwanjani kuanzia saa mbili asubuhi na mpaka muda huu uwanja umeshatapika. Pia polisi (FFU) wametanda kila kona ya mji huo kwa kuangalia usalama zaidi.
Wananchi wote mliokaribu mnakaribishwa. Hii ni nguvu ya mabadiliko ndani ya Moshi na kwa Tanzania kwa ujumla. HAKUNA WA KUZUIA MABADILIKO....Mabadiliko ni lazima...!
Sijui Yahaya atajificha wapi
kwanza anajitia aibu mbele ya wananchi. Kinapotoka kichwa magufuli bayana na kwa kirefu kinachoongea sera na mambo ya kupambana na ufisadi halafu kinakuja kitu cha ajabu ambacho hata kikiongea hakionyeshi ajenda yoyote yenye mwelekeo, wananchi wanakudharau. Kwa sababu watalinganisha kati ya yule aliyetoka juzi kwa sababu bado wana kumbukumbu na wewe uliyekuja leo. Wanakukuta ni zero wanaanza kukudharau hapo hapo.
Tena uwezekano wa kupoteza washabiki ni mkubwa mara tu unapoondoka.
Sijui Yahaya atajificha wapi
Kwa ushauri tu ni bora akapita maeneo aliyopita Magufuli baada ya siku kadhaa na sio immediately. Hiyo mbinu nawapa makamanda, am trying to be neutral here! Without biasness!
Ingawa chadema asilia tumeshasema lowasa hafai kuwa kiongozi wa nchi. Labda awe rais wa monduli. Lakini hata monduli hatakiwi kwa sababu pamoja na mapesa yake hajafanya lolote kule. Ni heri Namelock Sokoine abebe mikoba hiyo.

Kwanza anajitia aibu mbele ya wananchi. Kinapotoka kichwa Magufuli bayana na kwa kirefu kinachoongea sera na mambo ya kupambana na ufisadi halafu kinakuja kitu cha ajabu ambacho hata kikiongea hakionyeshi ajenda yoyote yenye mwelekeo, wananchi wanakudharau. Kwa sababu watalinganisha kati ya yule aliyetoka juzi kwa sababu bado wana kumbukumbu na wewe uliyekuja leo. Wanakukuta ni zero wanaanza kukudharau hapo hapo.
Tena uwezekano wa kupoteza washabiki ni mkubwa mara tu unapoondoka.
Huyo lofa huyo,yani anapita nyumanyuma kwa wenzie tuuuuuu!!!
Ndiyo maana unajiita Babeli, roho ya machafuko.