Eberi M. Manya
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 743
- 280
Ndugu wanabodi, leo hapa Moshi mjini kuna ujio wa Edward Ngoyai Lowassa kwa ajili ya kampeni akifuatana na kada maarufu na gwiji la CCM aliyechepuka hivi karibuni ndani ya CCM na kuunga mkono mabadiliko.
Mkutano huo wa Lowassa utafanyika katika UWANJA WA MASHUJA hapa Moshi mjini kuanzia saa nane kamili mchana.
Tangu asubuhi saa mbili kumekuwa na shamrashamra kubwa sana hapa Moshi mjini na viunga vyake. Hamasa ni kubwa sana, watu walianza kujaa uwanjani kuanzia saa mbili asubuhi na mpaka muda huu uwanja umeshatapika. Pia polisi (FFU) wametanda kila kona ya mji huo kwa kuangalia usalama zaidi.
Wananchi wote mliokaribu mnakaribishwa. Hii ni nguvu ya mabadiliko ndani ya Moshi na kwa Tanzania kwa ujumla. HAKUNA WA KUZUIA MABADILIKO....Mabadiliko ni lazima...!