Lowassa ndani ya Kagera (March 01, 2014)


unamtetea naye huyo ni bwana ako,au ndiye anayekuhemea kisogoni,huwezi mshawishi mpuuz ambaye anajitoa akili ndio aingie jamvini,
 
Fanyeni Hivi kwa kunikumbuka mimi, Ndivyo Yesu alivyonena, mie huku nikiona umeme umekatika, au mwisho wa mwezi naongezewa buku 7 za service tiyari namkumbuka Lowasa. Nikisikia mtu anamtaja nakumbuka maumivu ya kufilisika kwa sababu ya kukosa umeme makusudi ili Richmondi ifanye kazi.
 

kama unasikia maumivu nenda leba ukazalishwe ww,subir usifny kaz utaishia kuolewa
 

Na kisha rafiki yako ZZK akapendekeza wakati huo hyo mitambo inunuliwe na serikali,acha chuki kijana hizi siasa chafu haziwafai vijana.
 
we ------- huna ushaidi afu unazungumza?embu nenda monduli kajionee hadi kwenye miamba na milima bara bara zimefunguliwa kuunganisha vijiji.na mambo chungu nzima!!!

Acha udaku. Lowasa ni mwizi na hafai kuwa Rais. Barabara zipi unazungumzia monduli. Na hata kama zipo hizo za kilometa mbili zimejengwa na serikali na si huyo mwizi. Membe ni mpango wa mungu; tafuta kashfa mbili za membe uziweke hapa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…