OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli mh Edward Lowassa akisalimiana na sheikh mkuu Alhadji Haruna Kichwabuta pamoja na viongozi wengine mara tu alipowasil imjini Bukoba kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya Balozi Fulgence Kazaura le hii.
Attention seeker.Kwani yeye ni Mbunge Pekee aliyehudhuria mazishi huko Kagera?

Rais anae subiri kuapishwa.
Attention seeker.Kwani yeye ni Mbunge Pekee aliyehudhuria mazishi huko Kagera?
Yaani watu wanashangaza kwelikweli!! Mtu akishanunuliwa juisi tu anajitoa ufahamu!! Ktk taifa letu, mtu ambaye hastahili kuonekana barabarani, ni huyu mtu!!
HAKIKA NAWAAMBIA WATZ MTAKUJA KUJUTA KULIKO SASA!! Pigeni kelele kwa ushabiki!!
We subiri tu kaka ipo siku watajuta ....watanzania sijui nani katuloga tena utashangaa huyo anaeshabikia nikjana tena alienda shule
Hata mlete threads milioni hapa,Lowassa hauziki.Amechafuka na hafai tena. Kwanza,mnalipwa kwa kazi mnayofanya? Fanyeni yenu vijana.Acheni ubendera
Gongo unakunywa wewe unaoficha utambulisho wako halali humu halafu unajifanya unahoja kweli kwelinaona umekuja na hangover ya gongo,pole sna
Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli mh Edward Lowassa akisalimiana na sheikh mkuu Alhadji Haruna Kichwabuta pamoja na viongozi wengine mara tu alipowasil imjini Bukoba kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya Balozi Fulgence Kazaura le hii.
Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli mh Edward Lowassa akisalimiana na sheikh mkuu Alhadji Haruna Kichwabuta pamoja na viongozi wengine mara tu alipowasil imjini Bukoba kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya Balozi Fulgence Kazaura le hii.
Correction. Edward Lowassa si Waziri Mkuu mstaafu. Ni Waziri Mkuu wa zamani aliyejiuzulu kwa kashfa ya ufisadi wa Richmond.
Mawaziri wakuu wastaafu walio hai ni: Cleopa Msuya, Joseph Warioba, Dr Salim Ahmed Salim, John Malecela na Frederick Sumaye. Hawa ndio walistaafu wa heshima. Lowassa alijiuzulu kwa kashfa na hivyo hana heshima ya kuitwa Waziri Mkuu mstaafu.