Hahhahahahahahha yaani ma CCM kwa kuiga .. Yaani mmeona MAGUFULI kazomewa MBEYA.. Na Nyie Mnaleta Video za uongo Eti Lowassa na Ukawa wazomewa
Kweli wewe chizi hao watoto masaburi kawaokota hawana hata kadi ya kupiga kura.
Swissme
wewe mr. chin una akili kama za boss wako mwenye GPA ya pass na yule asiyejua hata english
hahahaaaaa.... sio chato tena??
kwikwikwikwikwikwi
MWaka huu lazma urudishe pesa ya watu
Chato mtaikumbuka mpaka kiyama yenu October 25.
Stupidito
Kwahiyo wewe ni mtoto wa kigogo wa UKAWA.Ninyi nyumbu fanyeni kazi KIJIWENI hakulipi.Mtaendelea kutajirisha UKOO WA MTEI mpaka KIAMA kwa akili hizi kupitia ruzuku.Maana VITI MAALUMU NA RUZUKU WAMEJAA UKOO WAO TU.Mr chin naona uko peke yako unaendeleza kuitetea CCM, MIE anasema mtu yeyote snsye support CCM ndo wale watoto wa vigogo maadui wa watanzania.