Lowassa na Sumaye wako UKAWA kuua upinzani...

Chilisosi

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2008
Posts
3,050
Reaction score
748
Ndugu zanguni

Hivi kweli na akili zenu mnashindwa kuelewa kua hawa watu wamekuja kuwamaliza?

IHebu jiuliae, inakuaje mpaka leo hakuna hata mmoja wao alievaa gwanda?

Kwa nini atoe kauli za kusema atamtoa babu sea na wale magaidi?

Kwa nini kila akipanda jukwaani hua hata hana time ya kuwahutubia, dakika mbili tu anasepa?

Hapo ndio mjue amekuja kuwavuruga tu, na baada ya ucjhaguzi yeye na mwenzake watarudi kwao kula pensheni ya uwaziri mkuu na kuwaacha nyumbu bila mchungaji

Hebu jiulize, ni kwa nini wanatumia udini na kumtumia Gwajima kama msemaji wa chama? Ina maana UKAWA ni ya kanisa sasa?

JITAMBUE!
 
Mkuu Chilisosi,una habari kuwa uzushi na uongo sasa ni kosa la jinai hapa Tanzania? Kuna Sheria ya Makosa ya Mtandao,2015. Kuwa makini mkuu
 
Last edited by a moderator:
Ndugu zanguni

Hivi kweli na akili zenu mnashindwa kuelewa kua hawa watu wamekuja kuwamaliza?

IHebu jiuliae, inakuaje mpaka leo hakuna hata mmoja wao alievaa gwanda?

Kwa nini atoe kauli za kusema atamtoa babu sea na wale magaidi?

Kwa nini kila akipanda jukwaani hua hata hana time ya kuwahutubia, dakika mbili tu anasepa?

Hapo ndio mjue amekuja kuwavuruga tu, na baada ya ucjhaguzi yeye na mwenzake watarudi kwao kula pensheni ya uwaziri mkuu na kuwaacha nyumbu bila mchungaji

Hebu jiulize, ni kwa nini wanatumia udini na kumtumia Gwajima kama msemaji wa chama? Ina maana UKAWA ni ya kanisa sasa?

JITAMBUE!

Hongera kwa kuthibitisha umbumbu wako, km Nguo ndio kigezo basi Nyerere Alisha ua Ccm.
Nenda kako.. Ukalale
 
Upumbavu mwingine, umeona hilo tu , mwl julius kambarage Nyerere ulishawahi kumwona kwenye hiyo jano na kijani yenu? Mabadiliko hayaletwi na vazi, subirini dawa iwaingie tu, ili na nyinyi mkalie hiki kiti cha upinzani
 
Ndugu Chili

Sii umwache huyu nyumbu aendelee kusinzia ?

Hivi unavyomshtua na kumkurupusha ataliwaje na simba sasa ?

Respect !!!
 
Haya,
Subiri tar.25 Oct. ndio ulete hiyo hadithi yako!
 
kutokuvaa gwanda kunaisaidia chadema maana kuna wanakijiji wanaamini kua mgombea wa ccm ni Lowassa kutokana na umaarufu wake.
😛eace:
 
tatizo umezoea kusikia watu wenye maneno mengi utendaji sifuri
 
Ndugu zanguni

Hivi kweli na akili zenu mnashindwa kuelewa kua hawa watu wamekuja kuwamaliza?

IHebu jiuliae, inakuaje mpaka leo hakuna hata mmoja wao alievaa gwanda?

Kwa nini atoe kauli za kusema atamtoa babu sea na wale magaidi?

Kwa nini kila akipanda jukwaani hua hata hana time ya kuwahutubia, dakika mbili tu anasepa?

Hapo ndio mjue amekuja kuwavuruga tu, na baada ya ucjhaguzi yeye na mwenzake watarudi kwao kula pensheni ya uwaziri mkuu na kuwaacha nyumbu bila mchungaji

Hebu jiulize, ni kwa nini wanatumia udini na kumtumia Gwajima kama msemaji wa chama? Ina maana UKAWA ni ya kanisa sasa?

JITAMBUE!

Sijui una Umri gani lakini naamini hata kwa level ya Shule zetu za Kata kama yangu-unajua historia kuwa hata Mandela alikuwa kwenye list ya magaidi?.

Hili la Gwanda lisikuumize nakukumbusha tu- Lowassa ni mgombea wa UKAWA kwa mwamvuli wa CDM .
Vipi unataka akae dakika ngapi au unataka arudishe kejeli kama sa Mkapa?.
Lowassa kashawaeleza kuwa atafanya Kamepni za Kistaarabu kwa hiyo tulieni msubiri kwa watazamaji !

Ndugu zanguni

Hivi kweli na akili zenu mnashindwa kuelewa kua hawa watu wamekuja kuwamaliza?

IHebu jiuliae, inakuaje mpaka leo hakuna hata mmoja wao alievaa gwanda?

Kwa nini atoe kauli za kusema atamtoa babu sea na wale magaidi?

Kwa nini kila akipanda jukwaani hua hata hana time ya kuwahutubia, dakika mbili tu anasepa?

Hapo ndio mjue amekuja kuwavuruga tu, na baada ya ucjhaguzi yeye na mwenzake watarudi kwao kula pensheni ya uwaziri mkuu na kuwaacha nyumbu bila mchungaji

Hebu jiulize, ni kwa nini wanatumia udini na kumtumia Gwajima kama msemaji wa chama? Ina maana UKAWA ni ya kanisa sasa?

JITAMBUE!
Kwa nini Nyerere Raisi wa kwanza wa TZ na mwanachama wa CCM hakuwahi kuvaa uniform za CCM..??
 
Ndugu zanguni

Hivi kweli na akili zenu mnashindwa kuelewa kua hawa watu wamekuja kuwamaliza?

IHebu jiuliae, inakuaje mpaka leo hakuna hata mmoja wao alievaa gwanda?

Kwa nini atoe kauli za kusema atamtoa babu sea na wale magaidi?

Kwa nini kila akipanda jukwaani hua hata hana time ya kuwahutubia, dakika mbili tu anasepa?

Hapo ndio mjue amekuja kuwavuruga tu, na baada ya ucjhaguzi yeye na mwenzake watarudi kwao kula pensheni ya uwaziri mkuu na kuwaacha nyumbu bila mchungaji

Hebu jiulize, ni kwa nini wanatumia udini na kumtumia Gwajima kama msemaji wa chama? Ina maana UKAWA ni ya kanisa sasa?

JITAMBUE!

Tokea lini umewaonea huruma wapinzani?Njama zote za CCM si kuua upinzani?Wape kura ili waimarike zaidi

Similar Discussions

Back
Top Bottom