meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,829
wanachama na wafuasi ndio mpango mzimaMwenyekiti na katibu wakiridhia wewe mwanachama utakataa?au ndo ile kujipoozea
Nimeipenda comment yakoMwenyekiti na katibu wakiridhia wewe mwanachama utakataa?au ndo ile kujipoozea
Ya lini hiiKuna theory nyingi sana kuhusiana na ugombea urais mwaka 2015, zote zinalenga katika majina makubwa ya Wanaccm wanaoutaka urais.
Kuna watu wanasema Lowassa akikosa kupitishwa na CCM kugombea urais, basi atahamia CHADEMA na kugombea urais kwa tiketi ya CHADEMA. Pia Sumaye kwa upande mwingine, akishindwa huko CCM, atajiunga CHADEMA na kugombea urais au ataiunga mkono CHADEMA.
Haijalishi nini kitatokea CCM, lakini msimamo wa wananchi waliochoshwa na CCM na Wanachadema ni mmoja tu. Hakuna kushiriki meza moja na mafisadi!
Hii ni tahadhari kwa hao kina Lowassa na uongozi wa CHADEMA!
CHADEMA iandae uongozi thabiti wa kushika dola, kwani 2015 wananchi wamejipanga. Hakuna politics!
ha ha ha ha....meninjitis!!!Kuna theory nyingi sana kuhusiana na ugombea urais mwaka 2015, zote zinalenga katika majina makubwa ya Wanaccm wanaoutaka urais.
Kuna watu wanasema Lowassa akikosa kupitishwa na CCM kugombea urais, basi atahamia CHADEMA na kugombea urais kwa tiketi ya CHADEMA. Pia Sumaye kwa upande mwingine, akishindwa huko CCM, atajiunga CHADEMA na kugombea urais au ataiunga mkono CHADEMA.
Haijalishi nini kitatokea CCM, lakini msimamo wa wananchi waliochoshwa na CCM na Wanachadema ni mmoja tu. Hakuna kushiriki meza moja na mafisadi!
Hii ni tahadhari kwa hao kina Lowassa na uongozi wa CHADEMA!
CHADEMA iandae uongozi thabiti wa kushika dola, kwani 2015 wananchi wamejipanga. Hakuna politics!
akili za chadema bhana chadema sio chama cha wananchi ni saccoss ya mboweKuna theory nyingi sana kuhusiana na ugombea urais mwaka 2015, zote zinalenga katika majina makubwa ya Wanaccm wanaoutaka urais.
Kuna watu wanasema Lowassa akikosa kupitishwa na CCM kugombea urais, basi atahamia CHADEMA na kugombea urais kwa tiketi ya CHADEMA. Pia Sumaye kwa upande mwingine, akishindwa huko CCM, atajiunga CHADEMA na kugombea urais au ataiunga mkono CHADEMA.
Haijalishi nini kitatokea CCM, lakini msimamo wa wananchi waliochoshwa na CCM na Wanachadema ni mmoja tu. Hakuna kushiriki meza moja na mafisadi!
Hii ni tahadhari kwa hao kina Lowassa na uongozi wa CHADEMA!
CHADEMA iandae uongozi thabiti wa kushika dola, kwani 2015 wananchi wamejipanga. Hakuna politics!
Na hawawezi kuwa chadema hao ccm nambari1. Chezea ccm wewe
Mkuu bado tupo na tuna msimamo ulelule wa kuupinga ufisadi katika mavazi yake yote!Thread zingine ukizisoma unabaki kucheka!
Kinachoshangaza zaidi, majina ya waliotoa comment pamoja na mleta thread kwa sasa yamepotea hapa Jamiiforums! Wamezaliwa upya na ID mpya!