Riziki Magembe
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 886
- 206
Wana jamvi napenda kujua kati ya wawili hawa nani ni mkubwa kiumri zaidi ya mwenzake?lakini pia kitaalum nani zaidi kwa wanasiasa hawa maarufu nchini tanzania?
nani mkubwa kuliko mwenzake au nani mzee zaidi kuliko mwenzake? in short wote wazee tena sana tu lakin mmoja pamoja na uzée afya vlevle ni tatizo.Wana jamvi napenda kujua kati ya wawili hawa nani ni mkubwa kiumri zaidi ya mwenzake?lakini pia kitaalum nani zaidi kwa wanasiasa hawa maarufu nchini tanzania?
jambo la umri linatuhusu nini wote takataka tu
Samwel Sitta alizaliwa tarehe 18 December 1942 na Edward Lowassa alizaliwa tarehe 26 AUG 1953.
Kwa hiyo Samwel Sitta ana miaka 72 na Edward Lowassa ana miaka 61.
Wana jamvi napenda kujua kati ya wawili hawa nani ni mkubwa kiumri zaidi ya mwenzake?lakini pia kitaalum nani zaidi kwa wanasiasa hawa maarufu nchini tanzania?
ww rojo acha watu wamdiscus rais wao ajaye!!kama hutaki kuchangia kamsaidie mkeo kuosha vyombo manake nayo ni kazi
Tatizo huyo 72 ana nguvu za mwili bado ila huyo mdogo ni spana mkononi
Age is just numbers!
Mkuu umefanya utafiti wa kutosha juu ya hili?Mzee haruhusiwi kua na nyumba ndogo. kwanini.
!!!!