Jeremiah
JF-Expert Member
- Feb 17, 2009
- 644
- 129
Wote hawafai kuongoza nchi hii . Kwa sababu wote wako ccm.Samwel Sitta alizaliwa tarehe 18 December 1942 na Edward Lowassa alizaliwa tarehe 26 AUG 1953.
Kwa hiyo Samwel Sitta ana miaka 72 na Edward Lowassa ana miaka 61.