waziri mkuu aliyejiuzuru kwa kashfa ya richmond amecheka tsh.milioni 10 jijini dar kuchangia kituo cha radio upendo fm.
Nini tafsiri yake lowasa kutoa kiwango cha mil.10 kila anapo ombwa kuchangia? Kwa nini hazizidi wala kupungua?
Waziri mkuu aliyejiuzuru kwa kashfa ya Richmond amecheka Tsh.Milioni 10 jijini Dar kuchangia kituo cha Radio Upendo FM.
Nini Tafsiri yake Lowasa kutoa kiwango cha Mil.10 kila anapo ombwa kuchangia? Kwa nini hazizidi wala kupungua?
Kama kawaida yake, mchangishaji wa makanisa EL leo alikuwa Arusha ktk harambee ya ujenzi wa kanisa la KKKT Elerai. kaniacha hoi alipoongea km m/kiti wa kamati ya bunge.
Tofautisha, Kwani anampa Mungu au anawapa wachunga kondoo?Mungu kamwe hapokei vya udhalimu.
Lowasa hasafishiki hata aende mbinguni na kurudi. Ahangaike tu na hayo makanisa. Labda anategemea watasema yeye ni "chaguo la Mungu" 2015.
mkuu asafishike kivipi? Kwani ni mchafu? Hebu weka hapa uchafu wake...usifuate mkumbo! God bless u El.
atoaye kwa wingi pesa za wajenzi huru na ziada au kwa Moyo acha ujinga wewe.Anatoa zake au za watz alizokwisha fyonza sanaAnafahamu siri ya utoaji.
Atoaye kwa wingi hupokea kwa wingi.
Atoaye haba naye hupolea haba.
Hilo la kuongea kama m/kiti it just happens kama kila mahali anapewa uenyekiti ubongo nao una adopt hivyo hivyo