Lowassa na Masha sasa ni wapinzani kweli

Lowassa na Masha sasa ni wapinzani kweli

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,004
Kwa yanayotokea na kuwakumba,sasa ni dhahiri Edward Lowassa na Laurence Masha ni wapinzani. Wako upande mwingine. Huyu anakatazwa kutembelea wananchi;huyu anawahishwa mahakamani na kuswekwa rumande.

Wamehitimu mafunzo ya wapinzani. Poleni Lowassa na Masha;hongereni Lowassa na Masha. Siasa za vyama vingi ndizo hizo. Na ziendelee!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
Huu ndo utamu wa upinzani ulipo na uchungu pia...

Wameona jinsi upinzani wasivotendewa haki na serikali hii kwa kutumia vyombo vya dora
 
hakuna kuremba,tunakandadiza mbele mbele

Masha na Lowassa wasahau ya zamani,wagange yajayo.

Mzee Tupatupa





Malofa na wapumbavu wanasema Elimu ni Ukombozi.
Kumbe ndio maana CCM ilipuuza sana suala la Elimu kwa malofa walioamini kuwa Elimu ni Ukombozi kwa vile tu ukombozi ulishapatikana tangu mwaka 1961 kwa mujibu wa Mkapa.
 
Hivi UKAWA itabaki kuwa safi kweli ikiwa mafisadi wana zidi kujiunga?
 
Ikulu tutakwenda tu, vyombo vya State vinazidi kutupa promo ya nguvu
 
Lowassa na Masha wamepasi initiation na maksi za juu kabisa. Wabarikiwe ,karibuni nyumbani.
 
Siku zote kila jambo la kher shetani lazima alete pingamizi. Hats Yesu kuzaliwa kwake kuliwa na vipngamizi sana na hatimaye tukapata mkombozi wa ulimwengu so Tanzania tumeshapata mabadiliko cha msingi kumuomba Mungu tumshinde shetani xo naamin shetani kesha shindwa ccm wanabaki kuhaha tuu pole yao!!
 
Team inayopigania ukombozi wa kweli,siku ukawa wakiingia madarakni ccm upepo watajilaumu kukaa huko miaka nenda rudi!
 
Back
Top Bottom