Lowassa na Masha sasa ni wapinzani kweli

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Kwa yanayotokea na kuwakumba,sasa ni dhahiri Edward Lowassa na Laurence Masha ni wapinzani. Wako upande mwingine. Huyu anakatazwa kutembelea wananchi;huyu anawahishwa mahakamani na kuswekwa rumande.

Wamehitimu mafunzo ya wapinzani. Poleni Lowassa na Masha;hongereni Lowassa na Masha. Siasa za vyama vingi ndizo hizo. Na ziendelee!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
Huu ndo utamu wa upinzani ulipo na uchungu pia...

Wameona jinsi upinzani wasivotendewa haki na serikali hii kwa kutumia vyombo vya dora
 
Ikulu tutakwenda tu, vyombo vya State vinazidi kutupa promo ya nguvu
 
Lowassa na Masha wamepasi initiation na maksi za juu kabisa. Wabarikiwe ,karibuni nyumbani.
 
Siku zote kila jambo la kher shetani lazima alete pingamizi. Hats Yesu kuzaliwa kwake kuliwa na vipngamizi sana na hatimaye tukapata mkombozi wa ulimwengu so Tanzania tumeshapata mabadiliko cha msingi kumuomba Mungu tumshinde shetani xo naamin shetani kesha shindwa ccm wanabaki kuhaha tuu pole yao!!
 
Team inayopigania ukombozi wa kweli,siku ukawa wakiingia madarakni ccm upepo watajilaumu kukaa huko miaka nenda rudi!
 
Back
Top Bottom