Lowassa na 'hofu ya kushindwa' na Magufuli

Lowassa na 'hofu ya kushindwa' na Magufuli

Kwanza Lowasa baada ya kushindwa asiondoke mpaka mahakama ya mafisadi ianze ajibu kwanza tuhuma za ufisadi zinazomkabiri.

Muanzisha mahakama mwenyewe anatakiwa akajibu mashtaka ya matumiz mabaya ya madaraka. Nani atamfunga paka kengele? Simiyu Yako na mwenzako Lizabon naona munahaha kumdis Lowasa ila hali kwenu ni mbaya. Na naamini Lizabon, Simiyu Yako, dada FF wote hawa watakua ni WANUFAIKA/Beneficiaries wa mfumo uliopo. Nje ya hapo huwez kutetea mauozo yaliyopo!
 
Ni wendawazimu kusema mgombea Wa ccm hana kashfa.kusema uongo no kashfa mbaya sana.rejea ripoti ya C.A.G kuhusu ukaguzi Wa mahesabu.
 
Ni wendawazimu kusema mgombea Wa ccm hana kashfa.kusema uongo no kashfa mbaya sana.rejea ripoti ya C.A.G kuhusu ukaguzi Wa mahesabu.

Kale karipoti ambako hata Bunge likikatupa kwenye dustbin?
Ukikafatilia ukajua kaliandaliwaje na kwa sababu gani ...
Uliza urudi tena
 
Nionavyo mie oktoba 25 hadi sasa hata lowassa mwenyewe anaanza kuingiwa na hofu,japo kwa nje anajifariji.

Upepo unaendelea kuvuma vyema kwa jembe Magufuli.

Kwanza jembe huyu haitaji kujieleza mengi aiyoyafanya ni wazi ataibadili Tanzania na hana kashfa,swali kubwa je baada ya kuanua matanga Lowassa ataendelea kuwa Chadema? Maana huko alifuata urais tu na hana mahaba na chama

Embu jaribu kufikiria kidogo ikitokea CCM imeshinda kwenye ukawa Lowassa ndiyo atapata shiida... Je, Lowassa akishinda huku kwetu CCM wangapi watapata shida... Maana ninaona kama tukishindwa kuna dalili zote chama chetu kikafa kabisa
 
Jambo hili sio la kupuuzia. Ni bora chadema wakajiandaa na maisha baada ya kuukosa urais na lowasa wao.
 
Back
Top Bottom