Harathony
Senior Member
- Oct 22, 2014
- 179
- 156
Watu hawana shida na Maghufuri sema watu wameichoka CCM..wengine hata ukivaa Tshirt ya CCM ukapita mtaani unakoishi unaaza kunyoshewa vidole au kuzomewa.
ukosefu wa point na maadil kumzomea mtu kisa mavaz ya chama flan...nchi hii ni huru na kila raia ana haki ya kuonesha hisia zake kuhusu anachokipenda na kukiamin.ila siasa za leo hapa kwetu TZ ni aibu sana
wanaohtaji mabadliko hawataki kubadlika
